Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Mzee wa kuunga unga story tu ndio maana watu kumkosoa sana kwenye mabandiko yake akikosea majina ,tarehe,miaka, eneo, hata taarifa za msingi ,nimchumia tumbo tu kama anavyojiita hand to mouth,

Alisema afande yupo msata Kihangaiko baadaye akaja eti yuko Dodoma

USSR
Jaribu kama unaweza halafu uje utuonyeshe na followers utakaokuwa umewapata.
 
View attachment 3079709View attachment 3079710 Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
Unamwacha huko unakuja kuulizia huku?
 
Back
Top Bottom