Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
12,800
22,280

Hiyo ndiyo profile yake ya kwenye mtandao wa X zamani Twitter pia ana akounti Telegram. Mimi ni mfuasi wa makala zake. Kwa nia njema tu najiuliza huyu gwiji yuko smart sana katika kuleta taarifa za matukio ya zamani (mfano kifo cha Billionaire Msuya) na hata yenye utata kama sasa tunapowatafuta akina Deusdedith Soka.

Anatoa taarifa za ndani sana zinazoungaisha Polisi, Mahakama, Magereza na hata TISS. Je, ni nani? Aanapata wapi taarifa? Mbona hasumbuliwi na vyombo vya dola katika kutoa hizi taarifa?

Najua na Buyobe pia yupo hunu JF kwa akaunti nisiyoijua
 
Tanzania ya watu 60M ujue kuna wengi tu wenye inteligence na akili za kutosha. Mkutano wa Juzi wa Mbowe na waandishi wa Habari alisema wana vyanzo vya kuaminika kuanzia Polisi, tis, jwtz, magereza etc.

Swali langu tu hizo zinazoitwa taarifa nyeti ni zile zinazoumiza tu Wananchi? Zile nzuri na njema haziitwi nyeti?
 
Lakini juzi ameweza kutoa sahihisho kati ya Kamanda anayedaiwa ndiye kiranja wa utekaji dhidi ya picha ilitolewa na akina Boniface Jacob kwenye mkutano wa Mbowe.

Hata kama anakosea ni kidogo ķuliko anavyopatia. Margin of error ni acceptable
 
Lakini juzi ameweza kutoa sahihisho kati ya Kamanda anayedaiwa ndiye kiranja wa utekaji dhidi ya picha ilitolewa na akina Boniface Jacob kwenye mkutano wa Mbowe.

Hata kama anakosea ni kidogo ķuliko anavyopatia. Margin of error ni acceptable
Yeye ndio aliwaleta awali kuwa ni watekaji kisha akaja kusema taarifa ile alilolipata ililenga kupotosha ,ni muongo muongo tu

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…