NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Mbona page ya result haina link yeyote mwenye kufahamu namna ya kuingia kwenye matokeo anifahamishe Please
nimeingiza namba ya kituo sijapata kitu
sijui kulikoni mara hii wameleta mfumo wa kifisadi
Mtu wa Pwani,
Kwa uzoefu wangu wa Mysql Database.
Kuna query nyingi zinatumwa kila sehemu ya Tanzania kupata Matokeo,so inakuwa busyna haiwezi kuwahudumia wote.. ila keep on trying utayapata,mambo ya first come first saved..natafuta e-mail ya watu wa baraza niwashuli nini cha kufanya ili matokeo yawe fast kupatikana..
na kama wansoma hapa,wangeweka Id kwa kila table.
MKUU NADHANI INGEKUWA SAWA KUIWEKA HII KWENYE JUKWAA LA ELIMU, UNAONAJE?
Isyo Lazima,,hili ni suala la Kitaifa,Invisible tena weka Sticky,
Ivisible Kama unaweza naomba uwaombe hao jamaa matokeo na wakupe datanbase yao... na mie nitatengeza search engine ya fasta ili watu waweze kuyapata hapa..
Ahsante kwa ushauri ndugu yangu,,,MKUU NADHANI INGEKUWA SAWA KUIWEKA HII KWENYE JUKWAA LA ELIMU, UNAONAJE?
Ahsante kwa ushauri ndugu yangu,,,
Si kama nimesahau ila nilionelea jana usiku (kwa masaa ya Tz) niirejeshe Siasa kwani zilikuwa zinafunguliwa topic hizo hizo kila sekunde nikaona njia bora ni kuiweka hapa kwa muda. Aidha, watanzania walio wengi wana hamu sana ya kujua juu ya hili na kama ujuavyo wengi wanadhani JF ni Siasa Forum tu!
Itarudi huko soon....
Aidha, watanzania walio wengi wana hamu sana ya kujua juu ya hili na kama ujuavyo wengi wanadhani JF ni Siasa Forum tu!
Mtu wa Pwani,
Kwa uzoefu wangu wa Mysql Database.
Kuna query nyingi zinatumwa kila sehemu ya Tanzania kupata Matokeo,so inakuwa busyna haiwezi kuwahudumia wote.. ila keep on trying utayapata,mambo ya first come first saved..natafuta e-mail ya watu wa baraza niwashuli nini cha kufanya ili matokeo yawe fast kupatikana..
na kama wansoma hapa,wangeweka Id kwa kila table.
Nilisikia kuwa hizi special zimefutwa na zitakuwa kama shule za kawaida je hiyo ni kweli waungwana?Mwaka huu seminary wameburuzwa kidogo si kama miaka ya nyuma ilikuwa no 1 hadi no 10 zote seminary...wapi special schools?