Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,427
Hawa hawa mkuu.....ndio maana wamejaa kwenye ajira zenu hapa bongo na wamewekeza mabenki na makampuni mengi sn....
Sio kweliHawa hawa mkuu.....ndio maana wamejaa kwenye ajira zenu hapa bongo na wamewekeza mabenki na makampuni mengi sn....
Safi sn.......Twende tutembelee jamhuri ya watu wa chato
Acha tu, manyang'au wanajifanya wako mbele sana kwetu, kisa kuzungumza broken "king'eng'e"! Ndorobo kabisa...Taita Taveta referral county hospital
Hawa hu-cross border kuja Kilimanjaro kutibiwa! sishangai kama referral hospitals zipo hivi Kenya! In Tanzania referral hospitals are well respected!