Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Mkuu Mimi Mwenyewe ninatibu maradhi ya Ukimwi seuze huyo Mzee Doctor Sebi.
Hehehe, mkuu claim kubwa sana hiyo, proof unayo? alafu umekaa tu haujulikani dunia nzima kwa sababu ipi hasa?
Mkuu Mimi Mwenyewe ninatibu maradhi ya Ukimwi seuze huyo Mzee Doctor Sebi.
Mimi hata nikikupa wewe Proof unayotaka itakusaidia kitu gani huo ukweli unaotaka toka kwangu mimi? MimiSitaki nijulikane Ulimwenguni inatosha mimi kujulikana kwa wale wagonjwa ninao watibi na wakapona.Hehehe, mkuu claim kubwa sana hiyo, proof unayo? alafu umekaa tu haujulikani dunia nzima kwa sababu ipi hasa?
Tanagawizi ni dawa na pia ni chakula unajuwa lugha ya kiingereza lakini wewe ? Soma hapaTangawizi dawa au chakula? Hebu ni tafsiri ya tangawizi dawa na tangawizi chakula maana inatumika kama kiungo sasa sijui inakuaje dawa hapo??
Mimi hata nikikupa wewe Proof unayotaka itakusaidia kitu gani huo ukweli unaotaka toka kwangu mimi?MimiSitaki nijulikane Ulimwenguni inatosha mimi kujulikana kwa wale wagonjwa ninao watibai na wakapona. Kujulikana si pendi matatizo ya kufuatwa na waandishi wa habari Media huwa ninazi chukia mimi. Ninao watibia ndo wao wana haki ya kunitangazia mimi kuw animewatibu sio mimi kujitokeza kwenbye Media eti ninatibu Maradhi ya Ukimwi nimekuwa Babu wa Lolilondo? sitaki kupata umaarufu w amuda ninataka niwatibie watu wapone na mimi nipate riziki yangu basi inatosha kwangu mimi hivyo.
Mkuu kama unajuwa kutafsiri toka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili Tafadhali katafsiri neno hilia hapa (''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS'') halafu uje hapa ubishe kichwa mchungwa.Japo nazikubali tiba asili ila siwezi kuacha kutumia tiba za kisasa. Kinacho nishangaza ni kwamba wataalam wa tiba asilia huwa wana jinasibu kutibu maradhi yote yani kwao hakuna ugonjwa unaoshindikana!!! Jambo ambalo sio kweli.
Nimewahi kushiriki mpaka clinical trials kama test subject kwenye nchi za watu na nikatambua jinsi mzungu anavyo hangaika kutengeneza dawa mpaka imfikie mgonjwa. Mnaposema kwamba zile dawa ni sumu sio kweli ndiyo maana wameiweka kiwango cha cha unywaji kama (2*3) kwa siku labda Kwa siku 10 nk. Ukizidisha kiwango lazima iwe sumu kwa sababu too much of anything is harmful kwa mwili wa binadamu.
Nadhani njia bora kwa watu wa tiba mbadala ni kufanya clinical research ya dawa zao ili ziweze kuwa approved na mamlaka husika hapo wataondoa ule ukakasi unaoleta mashaka kwa watumiaji. Msitutishe watu kwamba dawa ni sumu wakati miili yetu ina mechanism zake za kuprocess kila kiingiacho kama tukitumia kwa viwango vilivyo pendekezwa.
Makampuni ya kutengeneza madawa hayatengenezi tiba bali yana tengeneza wateja,,.Mkuu kama unajuwa kutafsiri toka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili Tafadhali katafsiri neno hilia hapa (''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS'') halafu uje hapa ubishe kichwa mchungwa.
View attachment 461098
Hapa ndipo hua siwachukulii serious, story kama hiyo huna uhakika wowote ule kama ni ya kweli, umeitoa kwenye website yenyewe inaitwa conspiracyclub, huwezi thibitisha chochote zaidi ya story iliyoandikwa na mtu moja, hakuna cure ya AIDS ni maneno tu ila mkiwa comfroted kuprove mnabaki mnashangaa.
Mimi ni web developer, hizi kazi za kutunga story online ili kupiga hela nimezifanya sana tu toka zamani, na zinalipa sana, page kama hizo zinapata visits nyingi mno kwa speed, kutengeneza $100 kwa story kama hiyo ni kitendo cha fasta, ndiyo sababu watu wanazidi kuzitunga. Real information inapatikana kwenye real new sources, leta proof kutoka kwenye reliable sources, usikae ukajidanganya kua haya makampuni ya habari yanalipwa na drug companies kuficha ukweli maana ndiyo hua mnakimbilia huko.
Umesha elewa kumbe? Basi amka Mkuu.Soma na hapo jinsi Madawa Ya Antibiotics yanavyo tuuwa taratibu sisi watumiaji.Ma-Daktari wanaficha hiyo Siri hutoweza kuambiwa na Daktari yoyote Duniani hiyo siri hapo chini.Makampuni ya kutengeneza madawa hayatengenezi tiba bali yana tengeneza wateja,,.