Football Wallpapers Thread

Ila kuna wachezaji wamepotea kabisa. Kuna mchezaji wa zamani kidogo alikuwa Manchester anaitwa Anderson kalikuwa kafupi kanakimbia balaa kalienda wapi?

Akina nani, hawasikiki sijui walienda wapi? Au mimi ndo nimezeeka sifatilii mpira kama zamani?
Ila zamani nilikuwa napenda mpira balaa yaani nilikuwa naenda hata vibandani dah.
 
IMG_20240705_072401_128.jpg
 
Huyu Guede wako nimeshakuambia hatokuwepo msimu ujao. Na tayari nimeshawasiliana na uongozi ili wampe mkataba mpya.

Na wewe ndiye wa kulaumiwa. Si unajifanya unampenda sana. Sasa ninakumomesha.
Babu! Tupia football wallpapers za timu yako pendwa ya nje
 
Ila kuna wachezaji wamepotea kabisa. Kuna mchezaji wa zamani kidogo alikuwa Manchester anaitwa Anderson kalikuwa kafupi kanakimbia balaa kalienda wapi?

Akina nani, hawasikiki sijui walienda wapi? Au mimi ndo nimezeeka sifatilii mpira kama zamani?
Ila zamani nilikuwa napenda mpira balaa yaani nilikuwa naenda hata vibandani dah.
Jamaa mmoja alikuwa handsome anaitwa Thiery Henry sijui yupo wapi nilikuwa nampenda alikuwa kwenye tangazo la pepsi
 
Dybala
 
Attachments

  • e35e16ee9bbe4e22b49369e379d20268_49933770_2188482194548770_5686832005824520318_n.jpg
    e35e16ee9bbe4e22b49369e379d20268_49933770_2188482194548770_5686832005824520318_n.jpg
    41.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom