Flora Mbasha achumbiwa, kuolewa tena

Kama anafunga ndoa katika makanisa ya kilokole hata mala NNE wanafungisha tu muhimu sadaka yako tu
Hakuna kanisa la kilokole linaweza kufungisha ndoa ya wazinzi. Na kama lipo ni sinagogi la shetani.
Mungu anachukia kuachana sembuse kuoa au kuolewa na mzinzi.
 
Habari za ndoa za kikristo wengi mnazishika kimapokeo tu na hamjui sana kuhusu taratibu na kanuni zake,watafuteni wachungaji walosomea kuhusu ndoa watawafumbua macho,acheni kukariri,
 
Lakini CD's zake za muziki bado zinauzwa kwa Jina LA Flora Mbasha. Inabidi mumewe wa zamani bwana mbasha adai nusu ya pesa yote kutoka kwenye mauzo.

Opportunity for right people.!
 
Back
Top Bottom