Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 842
- 978
Nimehitimu Degree ya Uchumi wa maendeleo ya jamii(Community Economic Development) mwaka 2022.
Experience:
Nina uzoefu wa mwaka [1] kama Afisa maendeleo ya jamii katika shirika la WORLD VISION TANZANIA-DODOMA.
Nimefanya majukumu kama:
*Field Officer
* Kuibua vikundi vya ujasiruamali na kuviwezesha kupata mikopo kutoka Vision Fund Tanzania.
*Kukusanya data katika mazoezi ya Baseline, Evaluation.
* Kuandaa Mafunzo na semina/Warsha mbalimbali kuhusiana miradi inayoendeshwa na shirika.
*Kuibua vipaumbele(Community Engagement) vya jamii kwa ajili ya mipango kazi ya shirika.
Ujuzi/Skills.
1. Kuandaa Terms of Reference vizuri kwa shughuli husika.
2. Kuandaa malipo na documents za malipo
3. Kutumia Kompyuta Vizuri.
4. Kuendesha pikipiki kwenye maeneo ya vijijin (Field Area)
5. Kutumia Excel kuandaa malipo, World, na PPT.
6. Kutumia internet vizuri: Email, outlook.
7. Kuandaa report na kuzituma kwa njia ya mfumo.
8. Ujuzi wa kuwasiliana.
9. Kujali muda
10. Team worker.
✔️Kufanya kazi yoyote ninayopangiwa kuifanya.
MAWASILIANO.
JINA: HAMISI RAJABU
NAMBA: 062884189/0765742803.
EMAIL : hamicomaryrajabu993@gmail.com
CHAMWINO,
DODOMA.

- Kusaidia Uandaaji wa malipo ya wakufunzi na washiriki wa semina, kutokea AP kwenda Cluster Level.
- champion wa Empowered World View(Mtazamo Chanya) kwenda kwa wanajamii.