Find 'A'

Kwani zikiwa unequal sides hufanya jumla tofauti na 180 degrees?
Jumla itakua 180 sawa ila angles zinaweza zikatofautiana ukubwa, mfano 72°, 38° na 70°, je hizi hazikuletei total ya 180° tusirahisishe approach kisa tu tumeona common coefficient imetumika bila kujali kam triangle yetu ni equilateral ama la!
 
Haiwezi kua 18° mkuu because hii siyo equilateral triangle so approach yako ni wrong....
Hiyo sio isoscales triangle wala scalene triangle so unadhani itakuwa ni aina gani ya pembe tatu lakini total ya nyuzi ya pembe tatu yoyote lazima iwe nyuzi mia na themanini...jaribu kukokotoa mkuu alafu utupe jibu ukiambatanisha na proof
 
Nafikiri kidgo we we umenielewa mkuu, nashkuru. Tukianzia hapo sasa ndio tunaweza kuanza kushusha
 
Haiwezi kua 18° mkuu because hii siyo equilateral triangle so approach yako ni wrong....
Mchoro umekosewa kuchorwa, kwa jinsi ilivyoandikwa a ni 18 degrees kama alivyoonyesha APEFACE , basic Euclidean axioms and arithmetic.

Nyuzi zote za ndani za pembetatu yoyote ni lazima ziwe 180 kwa mujibu wa Euclidean geometry, labda uniambie pembetatu hii haipo katika Euclidean Geometry. Kuna pembetatu zilizo na nyuzi zaidi ya 180, na nyingine zina nyuzi chini ya 180, lakini hizo ziko katika curved spacetime, non-Euclidean Geometry.

That is axiomatic. Fiat. Ukibisha unabishana na Euclidean axioms.

Lakini mchoro haujakaa kwa angles hizo ukiuangalia kwa macho, ni kama equilateral triangle ambayo itakupa majibu tofauti ya a=60, a= 12 na a= 15 degrees simultaneously, a contradiction.

Hizi hesabu za darasa la sita, hebu leteni mambo kama ya Fermat's Last Theorem, Ramanujan's proofs na vitu kama vya Grigori Perelman.
 
Pembe taty yoyote duniani ina nyuzi 180°, hivyo ni lazima yuko sahihi kwa vyovyote vile. Labda kwa ripoti kama za makanikia anaweza asiwe sahihi
Kuna pembetatu zisizo katika "Euclidean Geometry" zenye nyuzi zaidi ya 180 au pungufu ya 180.

Ila, by default kama hujasema hii pembetatu haipo katika Euclidean Geometry inachukuliwa kwamba ipo katika Euclidean Geometry, kama vile usiposema base ya namba, inachukuliwa kwamba unaongelea base 10.

Kwa hiyo hapo jibu ni a= 18, ingawa mchoro haujakaa to scale.Upo kamaequilateral triangle.

Non-Euclidean Geometry -- from Wolfram MathWorld

Non-Euclidean geometry - Wikipedia

Riemannian geometry - Wikipedia
 
Mchoro umekosewa kuchorwa, kwa jinsi ilivyoandikwa a ni 18 degrees kama alivyoonyesha APEFACE , basic Euclidean axioms and arithmetic.

Nyuzi zote za ndani za pembetatu yoyote ni lazima ziwe 180 kwa mujibu wa Euclidean geometry, labda uniambie pembetatu hii haipo katika Euclidean Geometry. Kuna pembetatu zilizo na nyuzi zaidi ya 180, na nyingine zina nyuzi chini ya 180, lakini hizo ziko katika curved spacetime, non-Euclidean Geometry.

That is axiomatic. Fiat. Ukibisha unabishana na Euclidean axioms.

Lakini mchoro haujakaa kwa angles hizo ukiuangalia kwa macho, ni kama equilateral triangle ambayo itakupa majibu tofauti ya a=60, a= 12 na a= 15 degrees simultaneously, a contradiction.

Hizi hesabu za darasa la sita, hebu leteni mambo kama ya Fermat's Last Theorem, Ramanujan's proofs na vitu kama vya Grigori Perelman.
Safi kabisa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom