FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

Sidhani kama yatatimia hayo mapendekezo.

Utashangaa matokeo ya mechi kuwa na magoli 20 au zaidi bila ajabu.

Hiyo ya penalt kuwa mita 25 na faulu itakuwa mita ngapi?
Sawa kabisa. Magoli yatakuwa 20. Hebu tujiulize, ni wakati gani mpirani ambao tukio hushangiliwa zaidi? Wanataka kuongeza idadi ya matukio ya kushangilia zaidi ili watazamaji wafurahie zaidi. Matukio hayo ni wakati goli likiingia. Badala ya kushangilia mara moja tu au kutoshangilia wanataka ushangilieara 20, raha kabisa.
 
Raha ya mpira ni magoli...lkn inapendeza wachezaji wahustle kupata hayo magoli.

Ikiwa kuna magoli ya mvua itawakera wengi.
 
la offside nalipinga, nahishi wanachezaji pinzani watakuwa nanasubiri mpira golini
Yaani wewe umeona kama mimi, pia nahisi ngumi zitatembea uwanjani kati ya mabeki na forward wa timu pinzani kwa jinsi watakavyokuwa wanang'ang'ania folio na kumghasi lisse, ladha ya soka itapungua.... wasituharibie soja eti mtu audake mpira makusudi kwa adhabu kiduchu, jaribu kufikilia manie bado dakika chache game liishe na mnaongoza moja bila mechi muhimu ili mtinge faibli, kwa bahati mbaya mpira wa adhabu au kona unapigwa kuelekea golini kwenu kwanini wote msiamue kumsaidia kipa kudaka, mpira ukipigwa tu kila mtu atafanya awezavyo kuuzuia ikiwemo vichwa,mikono nk
 
sorry kwa typing error,,folio =forward, soja =soka,, lisse =kipa,
 
Pia waujadili mpira wa makaratasi/chandimu mana nao unaladha murua utatufurahisha wacheza pekupeku
 
kwa hilo la kuondoa offside hata mimi ntarud kucheza mpira,maana miaka ile ya mpira wa makaratasi nilikuwa naachwa mbele Mimi tu na kipa wao.wenzangu wakiupata mpira unarushwa au unapigwa mbele.mbio zile dah ,pasi moja goli. naweza kuwa bora sana kama zamani
 
Back
Top Bottom