FIFA 14, error e0001

GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,889
1,127
Wakuu nmenunua cd ya game la FIFA 14 kila nkijarbu kuifungua ili nicheze inaleta error e0001 mwenye utaalam anisaidie.
 
fafanua unaipata hiyo errorwakati wa kucheza? na unatumia platform ipi ya OS
 
yeah kwanza tuanze na specs, ingawa nahisi graphic memory yako ni too low, ama huna framework.net
 
kaka intel atom na fifa 14 hata haviendani sidhan hata kama ikikubali kulaunch game utaweza kucheza. tafuta pes la zamani kama 2010 hivi then lipatch na pes edit upate usajili mpya wa 2014 ili uwe na wachezaj wapya na game linalo run smooth
 
Chek gaming capacity kweny pc yako,right click my computer then go to properties,view assesment,then angalia gaming capacity..inabid iwe atleast 5.5,kama ni ndogo zaid ya apo try to update drivers,tumia driver pack solution 2013, also hakikisha una direct x installed..try fanya hivyo..
 
kaka intel atom na fifa 14 hata haviendani sidhan hata kama ikikubali kulaunch game utaweza kucheza. tafuta pes la zamani kama 2010 hivi then lipatch na pes edit upate usajili mpya wa 2014 ili uwe na wachezaj wapya na game linalo run smooth
mkuu kulipatch ndo kufanyeje!?
 
kaka intel atom na fifa 14 hata haviendani sidhan hata kama ikikubali kulaunch game utaweza kucheza. tafuta pes la zamani kama 2010 hivi then lipatch na pes edit upate usajili mpya wa 2014 ili uwe na wachezaj wapya na game linalo run smooth
Habari mkuu
Naomba msaada wako boss game yangu pia ya Fifa 14 inanigomea kulaunch inaleta hiyo error 0001
Specification za pc ni
Ram 4 gb
Rom 500gb
Processor core i5 2.40GHz
Natumia windows 10 64bits
 
Drivers za graphics zipo sawa? Games nyengine kubwa kubwa zinacheza?
 
Back
Top Bottom