Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Hapana sijaangalia hizo mkuuDrivers za graphics zipo sawa? Games nyengine kubwa kubwa zinacheza?
Naziangaliaje
Ndo game ya kwanza kuinstall
Hapana sijaangalia hizo mkuuDrivers za graphics zipo sawa? Games nyengine kubwa kubwa zinacheza?
Nenda my computer kisha right click kisha properties nisomee jina la cpu nikupe drivers.Hapana sijaangalia hizo mkuu
Naziangaliaje
Ndo game ya kwanza kuinstall
Right click kwenye game in Origin, kisha select game properties then tick disable origin in game.Wakuu nmenunua cd ya game la FIFA 14 kila nkijarbu kuifungua ili nicheze inaleta error e0001 mwenye utaalam anisaidie.
Intel(R) core(TM) I5 CPU M 520 @2.40GHz 2.40 GHzNenda my computer kisha right click kisha properties nisomee jina la cpu nikupe drivers.
Mkuu hii ni 1st gen jaribu hii driverIntel(R) core(TM) I5 CPU M 520 @2.40GHz 2.40 GHz
Asante kaka nimefanikiwa hivi kwenye fifa nako Kuna uwezo wa kupata kikosi kipya?Mkuu hii ni 1st gen jaribu hii driver
Downloads for Intel® Core™ i5-520M Processor (3M Cache, 2.40 GHz)
Sema usiweke tegemeo kubwa hio i5 haina hata gpu ya maana, ina accelerator tu ya grqphics kidogo basi.
ndio zipo mods mpaka za 2020,Asante kaka nimefanikiwa hivi kwenye fifa nako Kuna uwezo wa kupata kikosi kipya?
Hello chief,hivindio zipo mods mpaka za 2020,
FIFA 14 Next Season Patch 2020 - LINKS - 53006766
hope upo familiar na kuunga hizo rar, ku extract na kupaste kwenye main folder,
Fifa 14 inacheza hii,Hello chief,hivi
pavilion dv7
Hp pavilion dv7,
Ram 4,HDD 320gb
Processor 2.90GHZ AMD Phenom ii N640,
Hii inaweza play mpaka fifa ngapi na price yake ita range ngapi mkuu?
Hii vipi chief,Fifa 14 inacheza hii,
Hii ni kama core 2 duo, bei zake around laki 2 kushuka.
I7 ipi? Na hakuna intel graphics yenye memory ya 4GB.Hii vipi chief,
Kwenye price na km itasukuma fifa15-19?
HP-ELITEBOOK 8570P
ULTRABOOK
INTEL CORE I7
PROCESSOR
QUAD CORE
NUMBER OF CORE
RAM-8gb
HDD-320gb
STORAGE TYPE
15" / 15.6"
INTEL-GRAPHICS CARD- 4GB
GRAPHICS CARD MEMORY
Nmeulizia mkuu, ni 3rd Generation Intel Core i7-3520M (2.90 GHz)I7 ipi? Na hakuna intel graphics yenye memory ya 4GB.
Hii sio quad core kama walivyoandika huko juu, pia haitacheza fifa za kisasaNmeulizia mkuu, ni 3rd Generation Intel Core i7-3520M (2.90 GHz)
Chief-Mkwawa
Za kisasa ndo kuanzia fifa ipi mkuu?Hii sio quad core kama walivyoandika huko juu, pia haitacheza fifa za kisasa
2017 kupanda walipo introduce engine mpya, pia kuna story mode inayoendelea 2017, 18, 19 mpaka 20.Za kisasa ndo kuanzia fifa ipi mkuu?
Shukrani mkuu2017 kupanda walipo introduce engine mpya, pia kuna story mode inayoendelea 2017, 18, 19 mpaka 20.
Undio zipo mods mpaka za 2020,
FIFA 14 Next Season Patch 2020 - LINKS - 53006766
hope upo familiar na kuunga hizo rar, ku extract na kupaste kwenye main folder,