Bado inakataa!
Ram 2gb
Hdd 250gb
Processor 1.66.
mkuu kulipatch ndo kufanyeje!?kaka intel atom na fifa 14 hata haviendani sidhan hata kama ikikubali kulaunch game utaweza kucheza. tafuta pes la zamani kama 2010 hivi then lipatch na pes edit upate usajili mpya wa 2014 ili uwe na wachezaj wapya na game linalo run smooth
mkuu kulipatch ndo kufanyeje!?
Habari mkuukaka intel atom na fifa 14 hata haviendani sidhan hata kama ikikubali kulaunch game utaweza kucheza. tafuta pes la zamani kama 2010 hivi then lipatch na pes edit upate usajili mpya wa 2014 ili uwe na wachezaj wapya na game linalo run smooth
Drivers za graphics zipo sawa? Games nyengine kubwa kubwa zinacheza?Habari mkuu
Naomba msaada wako boss game yangu pia ya Fifa 14 inanigomea kulaunch inaleta hiyo error 0001
Specification za pc ni
Ram 4 gb
Rom 500gb
Processor core i5 2.40GHz
Natumia windows 10 64bits