central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
136
192
Screenshot 2023-04-25 100308.png

Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani kama kuna rapa kweli anamuweza Farid kwa uandishi.

Jamaa anayo IQ kubwa sana, mimi nataka mnifundishe hiphop, kama nakosea nataka mnielekeze Ngwair alikuwa anamzidi Fid katika category gani?
 
Nani Kwanza kasema hivo???
Fid q ni mfalme kwenye hip-hop ya Bongo
 
Ngwair Alikuwa Anajua Kuimba lakini kiukweli Fid Q Anabakikuwa ni msanii mkali tokea kitambo nakumbuka mwaka 2009 nilienda kuangaliashow alipopanda Ngwair Watu Walipigashangwe lamana lakini alipoingia Fid Q likazidi kuliko la ngwair hii imenizihiilisha kwamba fid q alikuwa mkali kuliko ngwair , na hadi sasa Fid q anaendelea Kuziilisha kuwa ni mkali sikiliza nyimbo yake mpya ya Fid q inaitwa Bigman aliomshilikisha Rose Ree Utaamani Kama Fid Q Nimkali
 
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani kama kuna rapa kweli anamuweza Farid kwa uandishi.

Jamaa anayo IQ kubwa sana, mimi nataka mnifundishe hiphop, kama nakosea nataka mnielekeze Ngwair alikuwa anamzidi Fid katika category gani?
Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
 
Uzito wa mashairi unamaanisha misamiati, misemo na quotes za kwenye vitabu?
Unaweza nitajia wimbo wa Fid Q wenye mashairi mazito kushinda walau jina langu ya Prof Jay?
We jamaa hujui chochote kuhusu mziki yaani ni mweupe kama plain paper....

Nilizani walau ungetaja nang'atuka hapo ndo kidogo Jay aliumiza kichwa au sauti ya gheto lakini hizo Ngoma zote hazifiki hata robo ya mashairi adimu yaliyomo kwenye Ngoma ya ielewe mitaa ya Fid
 
Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
Acha uongo we jamaa ..

Au huenda IQ yako ni ndogo Sana Fid hawezi kufanya storytelling hivi unaijua Ngoma ya Ripoti za mitaani ya Fid Q na Zahir Zorro???

Usitudanganye
 
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani kama kuna rapa kweli anamuweza Farid kwa uandishi.

Jamaa anayo IQ kubwa sana, mimi nataka mnifundishe hiphop, kama nakosea nataka mnielekeze Ngwair alikuwa anamzidi Fid katika category gani?
Kwa mujibu wa paragraph ya kwanza . Msanii mwenye iq kubwa ya hip hope mpaka sasa kwa mujibu wa utafiti nilioufanya. Hakuna kama prof J .

Kwa mujibu wa paragraph ya pili hata mm binafsi sijawah kubaliana na kwamba ngwair ni mkali kwa IQ kuliko farid Q. Ila ngwair ni Moja ya wasanii wachache kwenye mainstream ambao walikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya mitindo huru. Kitu ambacho Fid Q hana .

Nimewasilisha hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom