Fid Q afunguka haya baada ya Irene Uwoya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya

Fid amesema Irene Uwoya anakula mchicha mzuri ndio maana akaweza kuwaona wanaume wagumu kwa jicho lingine, hata hivyo hamedai hana mpango wa kumtokea




Vitu vingine bana!mazungumzo ya mabinti hupaswi kuyashikia kipaza sauti labda tu uwe huna la kufanya
 
Kiukweli toka moyoni wamawake wanaangalia sura, lkn kuna uglyfaces wanampunga balaa, sasa na wao wanataka pesa, wanajiingiza wakionwa wasema ooh wanapenda sura mbaya. Ila wanachokipenda wao wenyewe wanafahamu
 
Kimsingi, Fid hastahili kujihesabia wala kuhesabiwa katika wasio uza sura. Jamaa ashawahi kuwa televised akifanyiwa scrub au facial nadhani, so nahisi pia ashajaribu kuonana na dermatologist(s) kurekebisha ule uso. Kuna video yake moja alikula wigi, na make up design.
Hiyo hoja dhaifu mkuu
 
Sura zingine zimekaa "kibandidu" si mchezo.
Astake kuniambia, ana ujasiri kukutana nazo.
 
Back
Top Bottom