Feza boys: Form one - form four zaidi ya Tsh Million 45! Serikali idhibiti hizi ada

Wenye hela zao waache wasome tu. Ukiiga kunya kwa tembo utachanika uke.

Waache tu mwaya unapoona panafaa na wewe peleka ukasomeshe huko.

That's That. SD.
 
Wengi hawabaki bongo kwa degree. Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2010, nilienda kufanya mtihani wa SAT (kwa ajili ya vyuo vya marekani), Heaven of peace, tulikuwa wengi lakini st. kayumba tulikuwa kama watatu tu ahhahaha,, mi na jamaa mmoja wa ilboru na mshikaji toka kibaha. Kilichokuja kunishangaza zaidi, most of private school wanafundishwa SAT kama somo school, wengi wanascore vizuri, wazee wa kazi tulikutana nayo papo kwa papo kama kfio cha radi.
 
Wengi hawabaki bongo kwa degree. Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2010, nilienda kufanya mtihani wa SAT (kwa ajili ya vyuo vya marekani), Heaven of peace, tulikuwa wengi lakini sent kayumba tulikuwa kama watatu tu ahhahaha,, mi na jamaa mmoja wa ilboru na mshikaji toka kibaha. Kilichokuja kunishangaza zaidi, most of private school wanafundishwa SAT kama somo school, wengi wanascore vizuri, wazee wa kazi tulikutana nayo papo kwa papo kama kfio cha radi.
ahahaa pole sana
 
Tuki-compare na ku-contrast mwanafunzi wa shule za umma anayepata division 1 or 2 huyo mimi naweza mpeleka hata Harvard kwa gharama zangu,maanake yale mazingira ya shule za umma nyingi ni kama sehemu za kulele watoto yatima au kambi za wakimbizi,wakati huku kwingine is like a 2 or 3 stars hotel....yaani tofauti ni mbingu na nchi.

Kweli kabisa.
 
siku ya kwanza kupresent chuo ilikuwa somo la management yaani nililowa hadi papuchi siuji hata nilikuwa naongea nini
Mabinti wanakuwaga na confidence sana tofauti na wanaume cjui ilikuwaje wewe ukalowa chupi
 
Mabinti wanakuwaga na confidence sana tofauti na wanaume cjui ilikuwaje wewe ukalowa chupi
ile assignment ilikuwa na topic ngumu kweli .halafu tulikuwa wote wa st kayumba yaani bora mie nafuu .ilikuwa shida tulipata 7/10 sitosahau
 
Hatuwezi kulingana wote. Hizo shule zina wenyewe. Kwa vile huwezi afford ndo unataka serikali iingilie kati? Please. Kuna watu wana uwezo na wanahangaika usiku kucha watoto wao wapate elimu bora. Kwa mtu Kama Huyo hata ungeifunga feza au IST....yuko likely kumpeleka mtoto wake nje ya nchi. By the way unaweza kuta mtu analalamika na hiyo karo lakini mjini anasukuma gari latest model. Education is simply an investment Kama nyingine. Tatizo watanzania wengi elimu tunaichukulia kirahisi rahisi sana.

Siamini zama hizi unaweza kuwa na mtoto na hujaanza kufikiria ataenda vipi shule/university. Do some savings. Otherwise kila kitu utakuwa unalia na serikali.
 
Nashangaa watu wanaisifia Feza kwa kufaulu hadi mtoto anamaliza form 4 milioni 45 imeisha. Je division one ya Tanzania form four ina thamani hiyo?

Hata mwanafunzi wa kitonga angewekezewa milioni 45 angefaulu tu
ukiwekeza milioni 45 kwa watoto wa Ilboru au Mzumbe si utatoka na degree kabisa au uprofesa?

Serikali idhibiti hizi ada jamani, hata kama ni private sio kwa ada hizo, huu ni ukoloni, ukizingatia ni shule za wageni na sisi tunawashobokea tu.

Tena watolewe kwenye mtaala wetu, hata Ulaya hawasomi kwa ada kubwa hivi.
Sioni ubaya hata watoto wakilipa zaidi ya hiyo ada
Hakuna aliyevutwa kamba kumpeleka mtoto wake hapo,
Cha muhimu serikali yetu iboreshe shana shule zake na kuboresha maisha ya walimu.
Ukisema wafukuzwe si sawa hii ni biashara huria, kumbuka miaka ya 80~90 wazazi walikuwa wanakimbiza watoto wao Kenya na Uganda wengine South Africa na kwingeneko.
Nafikiri hukawii hata kusema hotel za Star 5 zifungwe, tubaki na vibanda vya mama Lishe
 
Tuki-compare na ku-contrast mwanafunzi wa shule za umma anayepata division 1 or 2 huyo mimi naweza mpeleka hata Harvard kwa gharama zangu,maanake yale mazingira ya shule za umma nyingi ni kama sehemu za kulele watoto yatima au kambi za wakimbizi,wakati huku kwingine is like a 2 or 3 stars hotel....yaani tofauti ni mbingu na nchi.
Kuna bwana mdogo mmoja amemaliza shule moja ya kata mkoani huko, juzi kanipigia nimchekie matokeo dogo katoa division ONE ya point 10. Katengeneza B ya Physics, A ya Chemistry, A ya Biology na A B/Maths. Wazazi wake wahaelewi wafanye nini maana katokea familia isiyojiweza. Nimeguswa, nitamsapoti kwa muda wake wote wa masomo akiwa A'level.
 
Back
Top Bottom