Endeleeni kutoka mapovu mulianza hapa. Anabebwa na umaarufu wa wema,Freemason, mchawi,anabebwa na kollabo za wainigeria,anaiba nyimbo,kaisha kwa sababu anaiimbia ccm kama alivyoisha Maro, ananunua tuzo, mtoto sio wake, mnataka dna ya mtoto, mkamshindanisha na kibakuli,anauza unga, sasa hivi mama yake ndio mchawi sio yeye tena. Lakini muda si mrefu mlikuwa mnasema watu hawawezi kuingia shoo ya 100,000/= kwa vile hajui sasa kufika jioni mumebadili mada.