PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,764
- 19,294
Hivi huyu jamaa nae ni meneja wa huyo diamond?
Huyu jamaa anachukua nafasi ya babaake baada ya babaake mzazi kumkataa
Hivi huyu jamaa nae ni meneja wa huyo diamond?
Mwambie, roho mbaya haijengi.Ko ulitaka kusema mamaake ndomo mchawi?!
So hata kwenye utunzi, kuimba, kujituma tunguri ndo inahusika?
Umesema bi sanura hubeba "mikoba" kwenye kila concert ya dai, mbona mi sijawahi hudhuria show hata moja ila namnyooshe mikoni dogo anajituma na ni mbunifu??!
Sio Fella,Salaam wala BabuTale walomfikisha dai hapo alipo bali ni jitihada zake binafsi, aiming higher and thinking big is what made diamond be who he is na we ndo mchawi wake.
Acha roho mbaya mkuu...
Duh sandra huyuhuyu.ndio ukweli wadada wengi wa mjini humfuata mama ake mondi awapeleke kupuliza kabla hawajabeba poda wengi wamefanikiwa kwa style hio
Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu
Babutale ashawahi kuwa meneja wa Z Anto,mbdogg.gorilla killer(pingu na deso) Kassim mganga,Tundaman na Spark, Raymond(sio huyu rayvan), Keisha mbona hawakufika popote?
Na sasa Madee haendi show hata Rwanda
Fella nae kawa meneja wa Ferooz,Berry black,Bibi,cheka,Chegge,Temba kidogo ya moto ndo wanacheuwa
Hivyo wasihifanye wao wamemaster soko diamond ametoboa sasabu mama yake bingwa wa kupuliza na show zake zote kubwa huwa ndio mbeba mikoba huyo sallam mwenyew mbona alishindwa kumrudisha Mr Nice kwa game? AyY nae anaview kibao kwa hit yake ya zigoremix lakin ushasikia wapi anafanya show?
Me nashangaa sana wanamuziki wanapowalalamikia hao kuwa ni kikwazo
mti wenye matunda ndo hupigwa mawe waache tu watokwe mapovuEndeleeni kutoka mapovu mulianza hapa. Anabebwa na umaarufu wa wema,Freemason, mchawi,anabebwa na kollabo za wainigeria,anaiba nyimbo,kaisha kwa sababu anaiimbia ccm kama alivyoisha Maro, ananunua tuzo, mtoto sio wake, mnataka dna ya mtoto, mkamshindanisha na kibakuli,anauza unga, sasa hivi mama yake ndio mchawi sio yeye tena. Lakini muda si mrefu mlikuwa mnasema watu hawawezi kuingia shoo ya 100,000/= kwa vile hajui sasa kufika jioni mumebadili mada.
Acha Wivu! Kuwa Meneja Mzuri inaanzia na kujitambua na kipaji cha Msanii, nitajie Msanii mmoja ambaye aliachana na Babu Tale, Salama au Fella hafu akatoboa aidha na Meneja mwingine au peke yake! Otherwise acha huo wivu wa kike!!......kama Beki mbovu tegemea kuona kiwango bora cha Mshambuliaji, kama mshambuliaji mbovu tegemea kuona kiwango bora cha beki! Kama Beki ni bora, mshambuliaji bora! Tegemea kuona uwezo na burudani ya ajabu!Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu