Feitoto agoma kurudi Uto, ataka review ya hukumu ya TFF

Maslahi mazuri kwa Fei inawezekana.
Umshauri sasa arudi kambini ili akaendelee kuipambania timu, na mwisho wa siku apate hayo maslahi yake mazuri.

Na kama hana mahaba na timu kama inavyo semekana, basi akafuate utaratibu sahihi wa kwenda kwenye timu aliyo na mahaba nayo. Na siyo kutumia njia ya mkato.
 
Mm ningekuwa shabiki wa Yanga nisingekuwa upande wa viongozi na kichaka chao cha kufuata taratibu. Ningewahoji kwa kutokuthamini mchango wa kijana mzawa.

Sawa Fei alisain mkataba kabla hatujakiona hichi kiwango ndo maana mkataba ulikuwa wa thamani ndogo, ila baada ya kukiona kiwango kwann hatukuwa wa kwanza kumshawishi na mkataba wenye maslahi bora mpaka waje wengine kutoka nje?

Kuna harufu ya viongozi fulani fulani hapo kumnyonya Fei. Na tunajua akili za baadhi ya wabongo wakiwa wameshika mpini. Unaweza kuta Fei alishaomba sana tu wamwangalie ila zile roho fulani hivi zikasababisha wasijali na kuchukua hatua kwa wakati na sasa hivi watavaa ukondoo chini ya kivuli cha taratibu hazikufuatwa.

WANAYANGA WATAFUTE CLIP ZA FEI AKIIPIGANIA YANGA HALAFU WAJIULIZE, YULE ANAFANANA NA MCHEZAJI ALIYEICHUKIA YANGA NA KUTAKA ATOROKE ISIPATE CHOCHOTE? SIKU AKIWA ANASTAAFU ANAWEZA ONGEA YALIYOMKUTA.
KWA SASA ATATULIA KWANI HAKUNA MCHEZAJI MKUBWA KULIKO CLUB NA NI HATARI KUZUNGUMZIA CLUB ULIYOTOKA VIBAYA WAKATI BADO UNAHITAJI CLUB NYINGINE IKUSAJILI.
Unadhani haya mambo wakiya endekeza kitatokea nini? Kesho atakuja Job, next time Kibwana and so on itakuaje?
 
Mm ningekuwa shabiki wa Yanga nisingekuwa upande wa viongozi na kichaka chao cha kufuata taratibu. Ningewahoji kwa kutokuthamini mchango wa kijana mzawa.

Sawa Fei alisain mkataba kabla hatujakiona hichi kiwango ndo maana mkataba ulikuwa wa thamani ndogo, ila baada ya kukiona kiwango kwann hatukuwa wa kwanza kumshawishi na mkataba wenye maslahi bora mpaka waje wengine kutoka nje?

Kuna harufu ya viongozi fulani fulani hapo kumnyonya Fei. Na tunajua akili za baadhi ya wabongo wakiwa wameshika mpini. Unaweza kuta Fei alishaomba sana tu wamwangalie ila zile roho fulani hivi zikasababisha wasijali na kuchukua hatua kwa wakati na sasa hivi watavaa ukondoo chini ya kivuli cha taratibu hazikufuatwa.

WANAYANGA WATAFUTE CLIP ZA FEI AKIIPIGANIA YANGA HALAFU WAJIULIZE, YULE ANAFANANA NA MCHEZAJI ALIYEICHUKIA YANGA NA KUTAKA ATOROKE ISIPATE CHOCHOTE? SIKU AKIWA ANASTAAFU ANAWEZA ONGEA YALIYOMKUTA.
KWA SASA ATATULIA KWANI HAKUNA MCHEZAJI MKUBWA KULIKO CLUB NA NI HATARI KUZUNGUMZIA CLUB ULIYOTOKA VIBAYA WAKATI BADO UNAHITAJI CLUB NYINGINE IKUSAJILI.
Katika nchi hii, ni Fei Toto pekee ndiyo mchezaji mzawa anayelipwa mshahara mdogo wa milioni 4 kwa mwezi?

Wachezaji wote wazawa wenye viwango vya uchezaji kama Fei Toto kutoka simba, Azam, Singida Big Stars, nk wanalipwa mshahara wa milioni 23 kwa mwezi?
 
Umshauri sasa arudi kambini ili akaendelee kuipambania timu, na mwisho wa siku apate hayo maslahi yake mazuri.

Na kama hana mahaba na timu kama inavyo semekana, basi akafuate utaratibu sahihi wa kwenda kwenye timu aliyo na mahaba nayo. Na siyo kutumia njia ya mkato.
Alikuwa kambini bila maslahi mazuri boss na hakuna aliyemshawishi asiondoke mpaka wakaja wengine kutoka nje.
 
Katika nchi hii, ni Fei Toto pekee ndiyo mchezaji mzawa anayelipwa mshahara mdogo wa milioni 4 kwa mwezi?

Wachezaji wote wazawa wenye viwango vya uchezaji kama Fei Toto kutoka simba, Azam, Singida Big Stars, nk wanalipwa mshahara wa milioni 23 kwa mwezi?
Ķama fei ni sawa na hawa wengine kwann anatakiwa abaki ili hizo zinazoitwa taratibu zifuatwe? Si ili auzwe kwa bei kubwa club ipate fedha?

Fei sio mchezaji kama hao wengine, ingekuwa hivyo sio tu kwamba viongozi wa Yanga wangemruhusu, bali wangefurahia kumruhusu huku yeye akiwa kadeposi fedha za mishahara yake mitatu na signing fee sijui. Tena wangesema wazi HAYUPO KWENYE MIPANGO YA TIMU, TUNAMTAKIA KILA LA HERI HUKO AENDAKO.
 
Mkuu hata wewe jifikirie tu, Feisal katika ubora ule aliokuonesha uwanjani ambao ni zaidi ya hao wanaochukua 20+M, hivi kwa mtu mwenye busara unaweza ukasubiria uombwe kuongeza mshahara wakati unaona?
Mchezaji anatakiwa kujua thamani sio kusubiri mpaka ufanywe fadhira, as long as alisaini mkataba wake wa sasa basi anatakiwa kuutumikia
Halafu kwenye ishu ya mkataba wakumlaumu hapo ni aliyeandika mkataba wa Feisal

Aliyeandika mkataba ndiye aliyeweka kipengele kinachomruhusu Feisal kuvunja mkataba as long as atalipa 100M na 12M ya mshahara

Na ndio maana hata utetezi wa Yanga mahakamani ulikuwa unajikita kwenye neno "controversial" kuwa Feisali hakutafsiri vizuri hilo neno.
Kuhusu suala la mkataba kwanza imevujishwa page moja tu na mkataba una page zaidi ya tatu sio sawa kutolea hitimisho wakati hujasoma mkataba mzima. Pili hivi vipengere vya kuvunja mkataba vinawekwa ili mkichokana basi kuwe na namna rahisi ya kuachana pasipo kukomoana mfano kutajiana pesa kubwa kama wanavyofanyiwa wasanii wa wasafi wakitaka kuondoka wanaambiwa watoe bilioni na utata unaanziaga hapo wangeshakubaliana dau la kuvunja mkataba tangu mwanzo iyo isingeleta utata release clause inawekwa tu ili mkikubaliana kuachana usiibuke utata au mambo ya kukomoana ila haimaanishi kwamba mtu unaweza kudeposit tu iyo pesa ukawa huru kimkataba, mkataba mmesaini pande mbili kwaiyo kuuvunja lazima mkae mezani pande mbili.
 
Back
Top Bottom