Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Yanga ni kubwa kuliko mchezaji yoyote. Kamati ya nidhamu ya Yanga impe adhabu ya kifungo cha miaka 4 ili akome na iwe fundisho kwa wachezaji wengine.
Yanga wapo tayari kuboresha maslahi yake iwapo Fei yupo tayari.
 
Maslahi ambayo mwanzo walisema haiwezekani kuboreshwa wakati mkataba haujaisha
Ninachokiona viongozi wa Yanga walichelewa kuthamini mchango wa Fei kwa wakati mpaka mtu kutoka nje alipoamua kuonyesha thamani yake.

Ni vile kwa mashabiki viongozi hawakosei ila walitakiwa wapate presha kubwa kutoka kwa mashabiki kwamba ni kwann Fei mlichelewa kuipandisha thamani ya mkataba wake na maslahi yake? Mlikuwa mnasubiri nn? Kina Morisson mliweza kuwarudisha na kuwaboreshea maslahi, ilikuwaje huyu aliyepo ndani iwe ngumu sana kumuita mapema na kuboresha mkataba wake mpaka aje mtu kutoka nje kumshawishi afanye haya anayoyafanya?
 
Fei nakuhakikishia mafanikio yako yapo nje ya Yanga, kama unataka kuwa mganga wa kienyeji we rudi Yanga.
 
Fei nakuhakikishia mafanikio yako yapo nje ya Yanga, kama unataka kuwa mganga wa kienyeji we rudi Yanga.
Mafanikio ya Fei yapo kwenye fedha. Yanga wakiboresha maslahi vizuri hata akibaki ni sawa. Inasikitisha sana mchezaji anayejitahidi vile kupokea fedha isiyolingana na mchango wake.
 
Yaani kweli Fei Hana akili maana atazunguka sana ila kwa mkataba ulivyokaa atarudi square one nayo ni kuwa awalete warubuni wake Mezani walipe bei ya kumuuza 1B wasepe nae kwa Mpalanger!
 
Ninachokiona viongozi wa Yanga walichelewa kuthamini mchango wa Fei kwa wakati mpaka mtu kutoka nje alipoamua kuonyesha thamani yake.

Ni vile kwa mashabiki viongozi hawakosei ila walitakiwa wapate presha kubwa kutoka kwa mashabiki kwamba ni kwann Fei mlichelewa kuipandisha thamani ya mkataba wake na maslahi yake? Mlikuwa mnasubiri nn? Kina Morisson mliweza kuwarudisha na kuwaboreshea maslahi, ilikuwaje huyu aliyepo ndani iwe ngumu sana kumuita mapema na kuboresha mkataba wake mpaka aje mtu kutoka nje kumshawishi afanye haya anayoyafanya?
Mashabiki wana mapenzi na Club, wao wamechagua kufuata msimamo wa Club
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.

TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Ugali na sukari umemuharibu ubongo
 
Upo sahihi kabisa. Mkataba wa Faisal una release clause. Sema Yanga wanaleta usumbufu usio wa lazima. Kumg'ang'ania mchezaji ambae hawamtaki that's amount to forced labour.
Waarabu wa GSM wanataka kumrudisha Mzanzibari kwenye soko la utumwa
 
Alifanya nn? Kwann suala lao lipo TFF?

Unajua hakuna sababu ya kujificha. Fei hataki kucheza Yanga hichi ndicho anachofanya tangu day 1.

Na anachokifanya Yanga ni kupigana kumbakisha. Hii ndo vita iliyopo.

Hayo mambo ya taratibu ni silaha tu ziazotumika kupigana hiyo vita.

Ushindi wa Fei itakuwa ni kuondoka Yanga. Labda abadili maamuzi.
Mpira unataratibu zake kama hutaki kucheza tena Yanga fwata taratibu uondoke
 
Mpira unataratibu zake kama hutaki kucheza tena Yanga fwata taratibu uondoke
Taratibu alizotumia Fei hazikuwa sahihi. Ni zipi ni sahihi? Mpaka sasa hizi taratibu za Fei kufuata ili aondoke ni siri.
 
Yeye achukue hela club inayotaka kumsajili awape Yanga aendelee na maisha yake. Hukuna ndoa kwenye mpira.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yeye achukue hela club inayotaka kumsajili awape Yanga aendelee na maisha yake. Hukuna ndoa kwenye mpira.
Yap. Umeongea point. Yanga waweke wazi wanataka Tsh ngapi na kwanini. Hapo ndo ujinga wa Fei utapimwa au uonevu wa Yanga utaonekana.
 
Back
Top Bottom