Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

We mwehu, sasa tambua, kuna mahakama za kimichezo kima wewe, hizo ndio hutumia sheria na kanuni za FIFA mbwa wewe. Kama unaona Fei anaonewa ungana nae tuwakaze wote.
Mimi si ndiye niliyekuambia kuwa Swala la adhabu linaidhinishwa na mahakama kwa mujibu wa sheria za FIFA, wewe ukaja na mifano ya kina Mudathiri kupinga.

Sasa hapa unaandika nini na unapinga nini?

Kwanini umechagua kuwa mjinga hata kwenye vitu vidogo kama hivi?

Wanasayansi wanajaribu kutafiti kujua ni kwa mda gani mtu anaweza kuishi bila ubongo, go tell them your age bro
 
Wasimamie moja hata kama yapo mengi?

Sheria zinasema mchezaji aliyevunja mkataba alipishwe faini na kupewa adhabu ya miezi minne offline

Na adhabu ikiisha hawezi kuwa mchezaji wa hiyo timu

So why Yanga imemrudisha bila kufata utaratibu huo?

Hapo ndio wasiwasi wangu wa hii kesi kufanyika gizani unapokuja, hii kesi ingewekwa open kama ilivyokuwa kwa Morrison basi tungeshuhudia vitu vya ajabu sana

Nadhani ndio sababu TFF hawakutaka kuiweka bayana
Kama alikua sahihi katika uvunjaji wake wa mkataba sasa saivi anaomba tena kuvunja mkataba upi?
 
Hujaelewa script

Feisal kapeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba regarding na uamuzi wa review ya kesi yake ulivyoamuliwa kwa kumtambua kuwa ni Mchezaji wa Yanga

Nawe nikurudiahie swali

Kama kweli Feisal alifanya kinyume na sheria kuvunja mkataba kwanini hajapewa adhabu ya faini pamoja na kufungiwa na badala yake ameitwa kambini?
 
Kweni kesi ilipopelekwa ilihitaji adhabu?
Yanga ilihitaji tu uhalali wake wa kuvunja mkataba na hapo ikaonekana mkataba bado uko valid sasa wampe adhabu ya nini?
 
Feisal anasubiriwa ajae...,wakati huu sio rahisi.
 
Hujaelewa script

Feisal kapeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba regarding na uamuzi wa review ya kesi yake ulivyoamuliwa kwa kumtambua kuwa ni Mchezaji wa Yanga

Nawe nikurudiahie swali

Kama kweli Feisal alifanya kinyume na sheria kuvunja mkataba kwanini hajapewa adhabu ya faini pamoja na kufungiwa na badala yake ameitwa kambini?
Kwanini asiende CAS sasa akapate haki yake ? Kwanini arudi sehemu ilele anayojua haitendi haki na aombe itende haki?
 
Scars wakili uchwara mkeka huo hapo
1678121272516.jpg
 
Hujaelewa script

Feisal kapeleka barua ya kuomba kuvunja mkataba regarding na uamuzi wa review ya kesi yake ulivyoamuliwa kwa kumtambua kuwa ni Mchezaji wa Yanga

Nawe nikurudiahie swali

Kama kweli Feisal alifanya kinyume na sheria kuvunja mkataba kwanini hajapewa adhabu ya faini pamoja na kufungiwa na badala yake ameitwa kambini?
Na kashaanza kujaa,..maji lazima aite mmaa!
 
Kweni kesi ilipopelekwa ilihitaji adhabu?
Yanga ilihitaji tu uhalali wake wa kuvunja mkataba na hapo ikaonekana mkataba bado uko valid sasa wampe adhabu ya nini?
Kwa mujibu wa sheria ya FIFA mchezaji atayevunja mkataba kiholela lazima awajibishwe kwa faini na kufungiwa

Na baada ya hayo hawezi kuendelea kuhudumu kwenye Club hiyo kwasababu mkataba ulishavunjika
 
Feisal hajavunja mkataba sasa apewe adhabu ya nini?
 
Yanga walisema amevunja mkataba bila kufuata utaratibu

Na sheria zipo clear kuwa mkataba uwe umevunjika kwa kufuata utaratibu au bila kufuata utaratibu bado itahesabika kuwa mkataba umevunjika

Utofauti unakuja kwenye adhabu
 
Yanga ni kubwa kuliko mchezaji yoyote. Kamati ya nidhamu ya Yanga impe adhabu ya kifungo cha miaka 4 ili akome na iwe fundisho kwa wachezaji wengine.
 
Mbona tunarudi nyuma sasa

Kama angevunja mkataba Leo asingepeleka barua ya kuomba tena kuvunja mkataba
Alifanya nn? Kwann suala lao lipo TFF?

Unajua hakuna sababu ya kujificha. Fei hataki kucheza Yanga hichi ndicho anachofanya tangu day 1.

Na anachokifanya Yanga ni kupigana kumbakisha. Hii ndo vita iliyopo.

Hayo mambo ya taratibu ni silaha tu ziazotumika kupigana hiyo vita.

Ushindi wa Fei itakuwa ni kuondoka Yanga. Labda abadili maamuzi.
 
Back
Top Bottom