Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

We jamaa sijui kama una akili kichwani, ukishakuwa Shoga basi akili huhamia makalioni. Always unawaza in a negative way, madhara ya kuni hayo.
Leta mama yako nimpige ukuni atakupa hadithi. Tena mje naye unishikie mguu ukuni ukite vizuri brek pumb. Aliyekuambia lazima nikubaliane na wewe ni nani.
 
Swala la adhabu linaidhinishwa na mahakama kwa mujibu wa sheria za FIFA na imeset hadi categories za adhabu kulingana na circumstances ya mtuhumiwa
Mudathir, Sureboy, Morris hao walihukumiwa na mahakama za FIFA? hawakusimamishwa na Azam? Greenwood alisimamishwa na mahakama gani ya FIFA?
 
Kwani hujui amekwenda TFF kwasababu Yanga hawatoi ushirikiano?

Walivyowekewa ile milioni 100 kwanini waliirudisha?

TFF wakiwabeba tena kama walivyowabeba kabla kwenye kesi ya Hersi na Manara ambayo wamekaa kimya mpaka leo, ndio huyo wakili anajua ataelekea wapi.
Soma NUKUU ya Mr Jbst hii hapa

"Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.

Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)

Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.

Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.

Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna

Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue."

USIPOELEWA HAPO PIA BASI UMESHINDA.
 
Jasmin amewahi kusaidia Wachezaji mbalimbali kwenye migogoro ya kimkataba na klabu zao akiwemo Simon Msuva, Wilfred Bony aliyewahi kucheza Man City na Swansea City na Emmanuel Eboue aliyewahi kucheza Arsenal.

Hiyo paragraph juu ni chai, labda Wilfred Bony wa Iringa
 
Hapo ndio sielewi inakuaje. Mchezaji kama alikuwa na release clause kwenye mkataba kama inavyodaiwa na akaitimiza habari za wao kumtaka akae mezani ni za nini. Mkataba ulisema alipe signing fee na mishahara ya miezi fulani, akafanya hivyo sasa yanini kuzungushana.

Si mkataba wa kazi una termination? Sidhani kama Faisal na watu wake ni wajinga wa sheria na mkataba. Ni Yanga hawahawa walichana sehemu ya mkataba wa Bernard Morisson.

Nahofia baadae Yanga kudaiwa fidia ya kumpotezea muda, fedha na kumpa usumbufu.
We huna unalojua mbuzi wewe, we unadhani mikataba yenu hii ya uhudumu wa Bar pale Kitambaa cheupe?
Mkataba wa Soka una taratibu zake kwenye kuvunja. Kilaza wewe.
 
Soma NUKUU ya Mr Jbst hii hapa

"Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.

Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)

Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.

Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.

Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna

Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue."

USIPOELEWA HAPO PIA BASI UMESHINDA.
Hapo kwenye makubaliano na Yanga ndo penye mtego ambao Fei anaukwepa, either kwa sababu alishaenda akaambiwa au kwa sababu ameshajua bila hata kuambiwa. Fei angedeposit m700 hili suala la utaratibu lingeibuka?

Natamani Yanga waseme wazi kuwa fei akifanya nn watamwachia huru. Hii ndo itaonyesha ujinga wa fei au unyonyaji wa Yanga.

Inawezekana kabisa dau walilolitaka Yanga ni kubwa na sasa anachofanya Fei ni kuwalazimisha waliseme hadharani.
 
Leta mama yako nimpige ukuni atakupa hadithi. Tena mje naye unishikie mguu ukuni ukite vizuri brek pumb. Aliyekuambia lazima nikubaliane na wewe ni nani.
Video yako imeonekana unapigwa kuni kule Zenji, au unadhania hatukujui. Mtoto Papai, unaliwaaaaa.
 
Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.

Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)

Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.

Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.

Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna

Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue
Wewe shule umekwenda na akili zimo umeandiaka kisomi sana na hata mtu asiyejuwa lolote kuhusu Sheria akirifa hoja yako hi atakah kimya na kutulia tu

Kimsingi dogo afike salamander kwa amani kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Si huwa mnatuhakikishia kuwa Mwamba (Mtoto wa Bahressa) ndiye yuko nyuma yake?

Pesa inakosekanaje tena hapo?
Hizo ni assumptions za watu na watu wakwanza kuwa fooled walikuwa ni wale wazee walioitisha mgomo

Juzi Afisa Habari anaomba kutumia uwanja wa Azam anakuwa mcheshibele ya mic na Camera utafikiri hakuna kitu kiliwahi tokea
 
Imani gani nakati hata hivi karibuni Makolokolo mlipendelewa kupewa ruhusa ya kughairi mechi kwa sababu za kipuuzi kabisa mkiwa mnatalii Dubai ilihali YANGA FC ilinyimwa hata siku 2 tu na ilikuwa na sababu za msingi hasa kwa kutopumzika ilipotoka kucheza na Africain FC Tunisia?

TFF = Makolokolo FC tukianzia na Rais mwenyewe, hutaki pita vile.
Hahahaha

Hii sijui tuiitaje, sijui ndio utophobia au namna gani?
 
Mudathir, Sureboy, Morris hao walihukumiwa na mahakama za FIFA? hawakusimamishwa na Azam? Greenwood alisimamishwa na mahakama gani ya FIFA?
Unajua kusoma hoja?

Ni wapi nimesema mahakama za FIFA?

Unajua kutofautisha mahakama za FIFA na sheria za FIFA?
 
Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.

Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)

Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.

Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.

Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna

Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue
Mm mkuu nikushukuru nakushauri acha kupoteza Muda kujibizana na makolo waache wamjaze yule deogo kiburi

Back
Top Bottom