twalib ngonyani
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 249
- 316
Tatizo lenu hamkubari yaishe visababu vingi tu. Madrid wanavotolewaga kwenye Copa Del rey wanatoka vichwa chini na hakuna anaependa iwe ivo. Lakin wabongo unatuaminisha kuwa havitaki , kwa nn anashiriki?
Fungua uzi wako
Sawa , lakn unaongelea ya mbele. Unajua mwisho wa mashindano ni lini? Current data zipo ivo mkuu. Msilazimishe mambo
hio ngao ya hisan atacheza na barcelona uw3ezekano wa kuchukua ni mdogoRealmadrid akichukua Supercup, Ngao ya hisani Spain na Club worldcup tayari anakuwa ameshamkuta Barca