tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,481
m
mbona TAMWA, TAWLA, KIJIBO SIMBA ,etc hatusikii wakikemea yaliyotokea Zanzibar , nchi hii watu ni wanafiki saana, wapi wanaharakati ?haka kabinti nimekapenda bure.
tungepata tubinti tujasiri jinsi hii kama kumi hivi, nchi hii asingekuwepo wa kuichezeachezea hovyo.
ngoja nichunguze kama hakajaolewa..... natamani kijana wangu akaoe haka kabinti kazuri kwa sura, roho, moyo, nafsi na dhamiri. kazuri kila kitu haka kabinti kwa kweli.