Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,754
Haya sasa ulisema shujaa wa Afrika alikuwa dhalimuKwa hili box la kura la maigizo hakuna lolote atafanywa.
👇
Haya sasa ulisema shujaa wa Afrika alikuwa dhalimuKwa hili box la kura la maigizo hakuna lolote atafanywa.
Kwani haya yanayofanyika sasa ndio yanamsafisha?! Au alikuwa na haki miliki ya udhalimu kiasi wengine hawawezi kufanya uhayawani?