Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,599
241,425
Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina).

Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu kwa kifo cha kishenzi cha Mzee Ally Kibao aliyeuawa

Angalia unafiki wa Tulia Ackson halafu angalia mawe ya Fatuma Karume

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Screenshot_2024-09-10-23-50-14-1.png
t1.jpg
 
Sijawahi kumuelewa kabisa huyo Dada.

Sina hakika kama kuna changamoto yeyote iliyohusisha pande mbili kati ya upande wa wenye nguvu na upande wa wananchi.

Halafu huyo dada akasimamia upande wa wananchi ambao ndio ulimpa dhamana ya kuwatetea.

Ana asili ya kiutawala na hicho sio kitu ambacho wananchi wanakihitaji.

Wananchi tunahitaji sana mtu mwenye asili ya kiuongozi, kiongozi ni mtu atayeweza kubeba matatizo yetu na kuyachukulia serious kama limemtokea yeye.
 
Tutahakikisha harudi bungeni
 
Halafu huyu Tulia, yaani yeye she hates death ambayo inatokana na utekaji na uuaji wa watu wa vyama vya upinzani tu? Kama huku sio kutafuta kiki za kisiasa, ni mara ngapi amefanya jitihada za kukomesha mambo mengine yanayosababisha vifo vingi sana vya watanzania kuliko hata hili la utekaji?

Kwa mfano, vifo vya watu wanaouliwa na polisi wakiwa wameshikiliwa mahabusu, ameonyeshaje she hates death? Au hata vifo vya maelefu ya Watanzania kutokana na uzembe wa TANROADS kurekebisha barabara kwa sababu hawatumii fungu la road maintanance ipasavyo, kwa nini hatusikii Bunge likipitisha mjadala kwamba fedha za road maintanance kutoka bei ya mafuta lazima zitumike kwa lengo husika? Lini tutasikia Bunge likisema kila kifo kinachotokana na ajali inayotokana na TANROADS kuzembea kurekebisha barabara, TANROADS watawajibika pamoja na kulipa fidia kwa sababu fedha za kurekebisha barabara zinachangwa kwa wingi kupitia kununua diesel na petroli?

No Tulia, you are lying, you dont hate death, unless you mean you hate the anticipated death of CCM, implying the death of Kibao was justifiable in trying to delay that.
 
Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina).

Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu kwa kifo cha kishenzi cha Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu wa Mfumo waliotumwa na Wakubwa.

Angalia unafiki wa Tulia Ackson halafu angalia mawe ya Fatuma Karume

View attachment 3092854View attachment 3092855
Mwambie ukweli wakili msomi!
 
Kasema ukweli Fatma Karume
 
Back
Top Bottom