mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,548
- 644
Kuna Rais aliekuwa fisadi kuliko baba lake lile levi, hadi kupewa jina la hapa pangu ameiba hadi vichochoro huko Pemba.Hongera Fatma,msema kweli mpenzi wa Mungu.
Makonda alichongwa na Kikwete,Magufuli ni mrithi tu.
Kikwete siyo kwamba aliwafukuza wazee kwenye kamati kuu.Pia aliwafukuza wasomi ,aliwatoa kwa kisingizio cha ufisadi akina Chenge,Rostam na mama Tibaijuka na wengine walioonekana wanamawazo pevu .Hivi kama ufisadi kuna fisadi zaidi ya Kikwete??
Rais Kikwete huyo huyo bila aibu akawalinda wezi halisi wa ESCROW kupitia Benki ya STANBIC.
Niwazi alikua hataki mtu yeyote mwenye uwezo na ujasiri wa kufikiri na kushauri kuwa karibu naye.
Paul Makonda alichongwa na Rais Kikwete mwenyewe akiwa Rais.Mnakumbuka alipo mpiga jaji Warioba ,Kikwete akazawadia zawadi ya ukuu wa wilaya Kinondoni.Laana iyo inatosha kumtoa Kikwete na vijana wake kupitia Rais Magufuli.