Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Rejea kesi Imran Kombe, former Chief of TISS. Ila hii naona ni tofauti kidogo unless kama itathibitika alichofanya kipo ndani ya kazi yake ya kipolisi na kwamba kulikuwa na jinai. Issue itakuwa Je ni halali kumzuia wakili kuongea ndani ya viunga vya mahakama, na kumzonga zonga vile kama mhalifu. Kumbukeni sheria ya mawakili inatambua wakili kama ofisa wa mahakama.
 
Hiyo kesi itupiliwe mbali na mahakama maana haina mashiko.

Ingekuwa kanaswa kibao kweli. Ila kuzungukwa na watu au hata kuguswa sio kosa. Yeye kama mda wake wa kazi mahakamani uliisha alitakiwa aondoke ili wengine waweze kutumia mahakama.

Polisi walikuwa na haki ya kumzuia kuigeuza mahakama kuwa political platform na walimwambia apande kwenye gari lake akaongee na waandishi wa habari mahakamani.

Tena polisi walimstahi, ilitakiwa FFU wawe wameshamlamba virungu kwa kuleta bugdha mahakamani. Ana bahati sana mtafuta kiki huyu...

Kwa nini sheria hii imeanza kwa shauri hili la Lissu tu. Tumeshuhudia na ni kawaida kwa wanasheria kutoa brief feedback kwa media nje ya mahakama kwenye kesi nyinginezo. Hii ya Lissu ilikuwa na tofauti gani na nyinginezo?
 
Hiyo kesi itupiliwe mbali na mahakama maana haina mashiko.

Ingekuwa kanaswa kibao kweli. Ila kuzungukwa na watu au hata kuguswa sio kosa. Yeye kama mda wake wa kazi mahakamani uliisha alitakiwa aondoke ili wengine waweze kutumia mahakama.

Polisi walikuwa na haki ya kumzuia kuigeuza mahakama kuwa political platform na walimwambia apande kwenye gari lake akaongee na waandishi wa habari ofisini kwake.

Tena polisi walimstahi, ilitakiwa FFU wawe wameshamlamba virungu kwa kuleta bugdha mahakamani. Ana bahati sana mtafuta kiki huyu...
Mkuu. Utawaudhi vilaza humu jamvini sasa hivi. Ungewaacha kwanza washerehekee uzuzu wao.
 
Safi sana Fatma najua umeamua kuchagua upande wa wananchi japo umezaliwa upande wa kifalme ni watu wachahe sana wa upande wa ufalme kuamua kuwa upande wa watu simamia haki zako kisheria hili watu wanaotaka kuwarizisha wafalme wajifunze uko mbeleni wakumbuke kuwa yakiwakuta wanakuwa wako peke yao

haumfahamu huyo, haujui nyuma ya pazia,
 
Askari wa kiume atamshikaje mwanamke? Kama angekuwa mkewe au mama yake angefurahia? Jeshi letu limejaa askari wa kike, walikuwapo wapi? Hawa askari walikuwa hawajui kama mahakamani kuna watu wa gender zote?

Hii ni sawa na mganga mkuu wa hospitali kuamua kuwapikia wagonjwa wote chakula cha aina moja wakati kuna wagonjwa wa maradhi tofauti hospitalini. Na jeshi la polisi linapopeleka askari kwenye public lazima mwanamke awemo japo mmoja kuachana na tabia ya kugusagusa dada na mama zetu ovyo.
 
Kuomba fidia ya billion kadhaa huwa inatumika kama njia ya kuomba radhi kutoka kwa mkosaji.

Hii sio Mara yangu ya kwanza kusikia mtu anaomba fidia ya Pesa hizo!

Fatma sio mjinga, anajua wazi hiyo Pesa hawezi kulipwa ila ametumia njia hiyo kama kigezo cha kuombwa radhi kutoka kwa huyo Polisi.
 
Askari wa kiume atamshikaje mwanamke? Kama angekuwa mkewe au mama yake angefurahia? Jeshi letu limejaa askari wa kike, walikuwapo wapi? Hawa askari walikuwa hawajui kama mahakamani kuna watu wa gender zote?

Hii ni sawa na mganga mkuu wa hospitali kuamua kuwapikia wagonjwa wote chakula cha aina moja wakati kuna wagonjwa wa maradhi tofauti hospitalini. Na jeshi la polisi linapopeleka askari kwenye public lazima mwanamke awemo japo mmoja kuachana na tabia ya kugusagusa dada na mama zetu ovyo.
Kwani alipekuliwa? CPA K/f cha 26 kuhusu upekuzi tu kuwa mwanamke ayapekuliwa na mwanamke mwenzao kwenye hili la fatma karume hakuna kosa hapo
 
Kwa hawa polisi ukijua sheria utawageuza chimbo la pesa.
Soma hapa, haya mambo yapo, ila hatujui haki zetu! Na kuwakomesha ni kufungua kesi kama hizi

Here’s what police misconduct cases are costing taxpayers in big cities across the nation:

Boston

$36 million between 2005 and 2015.

A report by the Boston Globe published in May found that the city had paid $36 million to resolve more than 2,000 legal claims and lawsuits against the Boston Police Department over the past decade. The payouts went mainly to resolve cases concerning alleged wrongful convictions or police misconduct, and $31 million of this total stemmed from 22 cases, including nine awards of more than $1 million. One notorious case, in which a black officer allegedly beat a white citizen so badly that he was left with permanent brain damage, led to a $1.4 million settlement. Criminal charges were never filed against the officer, and though the Boston Police Department fired him for unreasonable force and for lying about the incident, an independent arbitrator later ruled that the city had to rehire him with back pay, full benefits and compensation. That’s a testament to the power of police unions and the arbitration process to shield officers from being held accountable for their actions.

That’s enough money for New York City to pay for the construction of more than seven brand new schools.

PS 281, also called the River School, opened its doors to students in 2013. Its construction costs were $47 million, according to the developer’s website. The six-story, 103,000-square-foot primary and intermediate school includes an “at-grade playground, a gymatorium, a second gymnasium, rooftop playfield, laboratory spaces, cafeteria and 26 classrooms.”

Oakland
$74 million between 1990 and 2014.

An analysis by Oakland Police Beat in April 2014 found that the city’s taxpayers had paid out $74 million to resolve at least 417 lawsuits accusing police officers of brutality, misconduct and other civil rights violations since 1990. Among them was a record $10.5 million settlement in 2004 for victims who claimed four officers kidnapped, beat and planted drugs on them during the summer of 2000. The officers most closely involved were fired and faced criminal charges, though they were ultimately acquitted. The alleged ringleader fled the country after the charges were announced.

Oakland Police Beat’s tally doesn’t include any instances of lawsuits that may have been resolved through jury trials, and it also excludes lawsuits that may have stemmed from intradepartmental issues or negligence. It leaves out more recent settlements as well, such as the $230,000 awarded to a black teen in April, two years after police shot him in the face because they believed he was a robbery suspect. Criminal charges were not filed in that case, and no disciplinary action was announced.

That’s enough money for Oakland to have invested extra funds each year in a pioneering behavioral health program in the city’s schools.

The Oakland Unified School District’s Behavioral Health Unit oversees a variety of initiatives designed to support underserved students. These programs include clinical counseling and mental health services, crisis intervention, violence prevention and a restorative justice effort designed to cut off the school-to-prison pipeline by reforming disciplinary policies.

Philadelphia
~$40 million between 2009 and 2014.

MuckRock reported last November that Philadelphia taxpayers had footed the bill for more than $40 million in police misconduct settlements filed after 2009 and settled before October 2014. More than $13 million of that total came from 29 suits over officer-involved shootings, including two separate $2.5 million settlements. In one case, officers fired 62 times into a stolen car when its two occupants reportedly refused to exit. The men, both black, were unarmed. One of them died, and the other was critically injured. No officer faced criminal charges in the case, and no disciplinary action was announced.

That’s enough money for Philadelphia to fund a new center to teach career skills to high school students more than six times over.

The $6 million Center for Engineering and Advanced Manufacturing is slated to open later this year, and will provide students with a variety of job training skills designed to give them access to industries that currently have trouble filling vacancies. The center is being built as a renovated wing at Benjamin Franklin High School, but will accept applications from students across the city. Many of the programs offered at the facility, which include electromechanical manufacturing and renewable-energy technology, aren’t offered anywhere else in Philadelphia schools.

Do you have information you want to share with HuffPost? Here’s how.


Na adai fidia sh. Billion 1
g Jamii Forums mobile app
 
Rejea kesi Imran Kombe, former Chief of TISS. Ila hii naona ni tofauti kidogo unless kama itathibitika alichofanya kipo ndani ya kazi yake ya kipolisi na kwamba kulikuwa na jinai. Issue itakuwa Je ni halali kumzuia wakili kuongea ndani ya viunga vya mahakama, na kumzonga zonga vile kama mhalifu. Kumbukeni sheria ya mawakili inatambua wakili kama ofisa wa mahakama.
Mkuu hata ASKOFU anaweza kuzuiwa na POLICE kanisani. Inategemeana na mazingira tu, ambayo sasa itabidi huyo police ayaeleze.
 
Back
Top Bottom