Fastjet kuajiri Air Hostesses toka South Africa, je Watanzania wenye vigezo hakuna?

nimeenda juzi mwanza naona kuna wabulgaria kiingereza hawajui, ni shiida tu wanafanya uchepe tu wakati wanatoa information
Hawa wabulgaria nadhani huwa wanakuja na zile ndege zao za kuazima ambazo wala haziandikwi Fastjet....Nami nimesafiri nao juzi KIA - JNIA, ila mkaka mbongo alikuwepo kutoa tafsiri ya matangazo....Nikawa najiuliza pengine ukiazima/kukodi ndege labda na wahudumu inakuwa ni package ya pamoja, hasa marubani.
 
Eti wamepata wapi work permit, Kama hujui uliza, mwenye ndege anakondisha ndege yake na anataka pilot na wahudumu watoke kwake, umewahi panda ATC miaka mitatu nyuma, ndege imekodishwa toka afrika kusini kulikuwa na wahudumu wakutoka wapi, Fast jet wamekodi ndege toka Bulgaria Airlines na wahudumu ni wa bulgaria na mtanzania mmoja tu ndani,
Watanzania ni wavivu wa kuprove fact, heri wewe umesema niliona uzi unakimbia kwa mapovu tu bila fact ni kweli Fastjet wamekodi ndege kutoka Bulgaria na sharti lake ni kutumia wahudumu na marubani wa Bulgaria. Kuna watanzania wamo lakini naamini baada ya muda watatumia locals kama watajiongeza
 
Fastjet ni ya south Africa hivyo wanabadilishana wahudumu. Unaweza kwenda nchi nyingine ambazo fastjet inafanya kazi ukawakuta wahudumu toka Tz. Umepanda Emirate au bado? Wanapoanza safari baada ya kupaa wanatambulisha wahudumu kuwa wanaongea lugha kadhaa hivyo kama huwezi ongea lugha ya yule anayekuhudumia unasema Swahili ili wakuletee mswahili. Anaweza kuwa mkenya, mnyarwanda au mbongo what matters is the language. Tusiwe na mawazo mafupi kuhusu airlines. Wasafiri wa ndege mara nyingi ni multi lingua.
Fastjet ni ya South Africa? Noooo!
 
Hakuna watanzania wa kufanya KAZI hii ya uhudumu kwenye ndege?
Hawa wamepataje work permit Hapa nchini?

MKUUU
WANAWORK PERMIT NAAMII..LABDA NIELEKEZE KIDOGO NA IDEA YA HUKO KWANGU NJIKONI
WANAPOLETA NDEGE MPYA WANALETA NA WATU WAO..WALE WANAKUJA KUFANYA CHECKS..UNAKUTA WETU WAMEENDA KUSOMEA SAME AC WAKIRUDI LAZIMA WAPITIE CHECKS.NA HII KAMA WAKIQUALIFY WAKUTOSHA WALA HUTOWAONA HAO JAMAA..N NORMA KABISA
 
nimeenda juzi mwanza naona kuna wabulgaria kiingereza hawajui, ni shiida tu wanafanya uchepe tu wakati wanatoa information
Kuna ubia kati ya fastjet na waburgaria na ndege zao ndo maana unaona hivyo. Siri ya ndege ni kubwa. Watu hawa wa biashara wanakuandikia unaenda na Emirate unajikuta na BA au KLM kama ilivyo sasa Kenya Airways na KLM sababu kuna ushirikiano wa haya makampuni. ATCL wangejiingiza humu wangeendelea kwa miaka mingi na ndege moja bila mtu kujua.
 
Watanzania ni wavivu wa kuprove fact, heri wewe umesema niliona uzi unakimbia kwa mapovu tu bila fact ni kweli Fastjet wamekodi ndege kutoka Bulgaria na sharti lake ni kutumia wahudumu na marubani wa Bulgaria. Kuna watanzania wamo lakini naamini baada ya muda watatumia locals kama watajiongeza
Watanzania ni wapiga deal.
 
Misichana ya Tanzania ina kiburi
Lugha mbaya na mbovu
Hawajielewi
 
Hakuna watanzania wa kufanya KAZI hii ya uhudumu kwenye ndege?
Hawa wamepataje work permit Hapa nchini?
Wameajiriwa kwa vigezo kuzingatiwa! Sijawahi kuta muhudumu wa ndani ya ndege binti au kigoli kutoka Tanzânia! Ni wa mama wenye vitambi na wa umri wa kati! Majibu yao sasa!
 
Tulifurahia kwamba Kiswahili ni lugha ya Taifa (inayoongewa na watu wengi wa Nchi hii), lakini ugumu wa lugha (kiingereza) + "customer care" mbaya = ???
 
Back
Top Bottom