Faru John huyu hapa, lindo lake lilikuwa Sh225,000 kwa kila siku

Swali juu ya swali duhuuu !
Haya endeleeni kubishana sisi tunaitaji faru joni akiwa hai na kama amekufa kafa nini kimesababisha kifo chake stop.
Hilo sio swali, ni tafakuri..sema kwa sababu haikuhusu hutaweza kuielewa..yeye ameelewa
 
Halafu FF sazingine unakuwaga na vigongo! Hivi hauelewi unayemjibu mambo ya bichwa na utumbo, yaweza akawa mmeo siku1. Sijui ukiolewa naye unaweza ukawa unamjibu mambo ya utumbo,sijui bichwa! Inawezekana kweli? Ninafikiria tu kwa sauti lkn!

Mjibie swali nililomuuliza maana limekuwa gumu kwake, ukishamjibia utakuja na maswali yako.
 
Nnauhakika hata hukielewi ukisemacho, niwekee thamani ya binadam kama unaniona mimi ni "idiot". Ukishindwa basi ujieleze wewe ni nani zaidi ya "idiot"?
Hata wewe unayejiita muislm safi unamaneno ya hovyo kiasihiki? Nikwambie tu kama hujui thamani ya binadamu nenda kaulize kwenye vituo vya kulelea watoto yatima kwavile hayajakukuta huwezikujua thamani ya binadamu ila wazazi wako wangekufa ukiwa mtoto ungejua thamani ya binadamu ilipo
 
Wacha porojo, weka thamani ya binadamu kama unaijuwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Yatima inahusu nini hapa? Kwa maana hiyo, hata Faru John kaacha yatima tena wenye thamani.

Punguani wahed.
 
Labda ili tuelewe thamani ya faru John tungejua pato lake aliloliingizia taifa kupitia utalii. Tujue pato hilo ni sawa na tani ngapi za madawa na madawa hayo yameokoa maisha ya Watanzania wangapi? Kweli kuongoza nchi ya watu wenye akili za baadhi ya watanzania ni mzigo mzito. Ikulu ya magogoni ni mzigo mzito kwa mwenye nia ya dhati ya kuwa saidia watz.

Na washawasha!
Unawapangia namna ya kuthaminisha, who are you?
 
Wacha porojo, weka thamani ya binadamu kama unaijuwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Yatima inahusu nini hapa? Kwa maana hiyo, hata Faru John kaacha yatima tena wenye thamani.

Punguani wahed.
Porojo wapi we muislam jina na mnafki mkubwa kama mnyama angekuwa na thamani Ismaili angechinjwa na baba yake lakini m/mungu akamteremshia kondoo ibrahimu ili amchinje hata dini hairuhusu kumfananisha binadamu na mnyama alafu unajifanya unaijua dini mnafki mkubwa wewe
 
Wacha porojo, weka thamani ya binadamu kama unaijuwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Yatima inahusu nini hapa? Kwa maana hiyo, hata Faru John kaacha yatima tena wenye thamani.

Punguani wahed.
Binadamu hana thamani .... hawezi kuthaminishwa hata bilioni bilioni bado huwezi mthaminisha nayo.....binadamu ni extra...thamani yake anaijua Muumba tu
 
Back
Top Bottom