Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
15,565
45,564
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
 
Kwa hiyo akikuzidi baada ya kuwa tayari mmeoana unafanaje? Mfano, amejiendeleza na kupata promotion kubwa, au. Kimradi chake kimekuwa, au kapata deal loote lile unafayaje?
 
shida sio kupata hivyo vitu shida kwa nature ya mwanamke lazima atabadilika tu,, sasa ni wewe na moyo wako ukiona umefika mwisho unajiendea zako ila lazima ujutie kwanza
 
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
na aliyezidi umri, je?
 
samia ana maadili ya kidini mkuu wangu
Samia ni wale wanawake wa kizamani alafu amekulia kwenye malezi ya kidini kwahyo ni ngumu sana kujikweza kwa mumewe. Ila hizi type C ni balaa hakuna rangi utaacha kuona
 
1000026267.jpg
 
Back
Top Bottom