Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,560
- 45,552
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna