Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,048
- 7,213
Asante sana.
Miaka 29 nitakuwa nimewamaliza woteHamia kwa muuzaji mwingine
Asantee totoo, hii elimu niliipata kwa mara ya kwanza mwaka uleeeeeee niliponunua jiko la gas, enzi naanza maisha ya kujitegemea. Yule muhindi alikuwa akikuuzia jiko anakupa na hiyo elimu na namna ya kuregulate moto utoke huo wa blue.Atoto njoo usome useful thread
Unatunia jiko gan kwanzaMbona kila nikijaza gas rangi ya frame ni njano
Safi sanaAsantee totoo, hii elimu niliipata kwa mara ya kwanza mwaka uleeeeeee niliponunua jiko la gas, enzi naanza maisha ya kujitegemea. Yule muhindi alikuwa akikuuzia jiko anakupa na hiyo elimu na namna ya kuregulate moto utoke huo wa blue.