Fanya haya kila ununuapo mtungi wa gesi ya kupikia majumbani

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,893
10,648
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.

images (7).jpeg
images (8).jpeg

* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C

* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa gasi iliyochanganywa na gesi ya Oksijeni kwa kiwango kikubwa hali hii itakupa uzito ule ule wa mtungi ila itakupelekea kupata moto wenye jororidi ndogo au pungufu kwa nyuzi joto 900°C hadi 1,200°C. Hii ina maana gani? Ni kwamba utahitaji kufungua gesi zaidi kwenye valvu yako, matumizi yatakuwa makubwa kuliko uhalisia na kukufanya umalize gesi kwa muda mfupi.

#Lakini pia tambua: Upungufu wa hewa ya oksijeni kwenye chumba unacho-pikia inaweza kusababisha gesi yako kubadilika rangi. Sehemu unapopikia hakikisha kuna mzunguko mzuri wa hewa ya oksijeni ili kurahisisha uchomaji mzuri wa gesi ya kupikia.

Endapo gesi hii isipochomeka vizuri basi huweza kusababisha uzalishaji wa hewa sumu inayojulikana kama Carbon monoxide.

KUMBUKA: Unatakiwa kila mara kufungua milango na madirisha sehemu unayotumia kupikia ili kuruhusu mzunguko wa oxygen ndani.
 
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.

View attachment 3092354

* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa gasi iliyochanganywa na gesi ya Oksijeni kwa kiwango kikubwa hali hii itakupa uzito ule ule wa mtungi ila itakupelekea kupata moto wenye jororidi ndogo au pungufu kwa nyuzi joto 900°C hadi 1,200°C. Hii ina maana gani? Ni kwamba utahitaji kufungua gesi zaidi kwenye valvu yako na kukufanya umalize gesi kwa muda mfupi.

#Lakini pia tambua: Upungufu wa hewa ya oksijeni kwenye chumba unacho-pikia inaweza kusababisha gesi yako kubadilika rangi. Sehemu unapopikia hakikisha kuna mzunguko mzuri wa hewa ya oksijeni ili kurahisisha uchomaji mzuri wa gesi ya kupikia.
Endapo gesi hii isipochomeka vizuri basi huweza kusababisha uzalishaji wa hewa sumu inayojulikana kama Carbon monoxide.

KUMBUKA: Unatakiwa kila mara kufungua milango na madirisha sehemu unayotumia kupikia ili kuruhusu mzunguko wa oxygen ndani.

Kumbe TBS au ewura wana kazi gani?

Hiyo mioto tukiiona tunafanya lipi kujikwamua?
 
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.

View attachment 3092354
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C

* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa gasi iliyochanganywa na gesi ya Oksijeni kwa kiwango kikubwa hali hii itakupa uzito ule ule wa mtungi ila itakupelekea kupata moto wenye jororidi ndogo au pungufu kwa nyuzi joto 900°C hadi 1,200°C. Hii ina maana gani? Ni kwamba utahitaji kufungua gesi zaidi kwenye valvu yako, matumizi yatakuwa makubwa kuliko uhalisia na kukufanya umalize gesi kwa muda mfupi.

#Lakini pia tambua: Upungufu wa hewa ya oksijeni kwenye chumba unacho-pikia inaweza kusababisha gesi yako kubadilika rangi. Sehemu unapopikia hakikisha kuna mzunguko mzuri wa hewa ya oksijeni ili kurahisisha uchomaji mzuri wa gesi ya kupikia.
Endapo gesi hii isipochomeka vizuri basi huweza kusababisha uzalishaji wa hewa sumu inayojulikana kama Carbon monoxide.

KUMBUKA: Unatakiwa kila mara kufungua milango na madirisha sehemu unayotumia kupikia ili kuruhusu mzunguko wa oxygen ndani.
Asante Sana kwa Somo zuli. Sasa Naomba kujua wapi naweza pata kitu Imeam Alarm ya kunijulisha gas inataka kuisha Nitashukuru Sana.
 
Tukianza kuwa nchi ya kila mtu kufuatualia jambo,hapo jua Mamlaka zinafeli pakibwa watu wanafanya uhaini wa kibiashara na hawachukuliwi hatua.
 
Back
Top Bottom