Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
5,071
11,227
Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu.

Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako.

Plate namba za 3D zinapatikana hata kwa walio mikoa ya mbali tunakutumia kibao kwa uaminifu mkubwa.Ni wakati wa kuondoka katika kawaida na kuwa wa kipekee!

Nitafute kwa namba 0769055050
bei kitongaaa ya ofa kwa mwezi huu tu…laki moja tu (100,000)

plate number 1.jpg
plate number 22.jpg
plate number 3d.jpg
 
Ha ha hii ni Tz mkuu! Kua una kagari kabovu uweke plate number za 3d kataleta muonekano mpya!
Jaribu uone mkuu wapo walioweka na mambo yakawa supa..
Ila inaongeza thamani ya gari pia.
Nyumba inafanyiwa repairs sembuse gari..
 
Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu.

Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako.

Plate namba za 3D zinapatikana hata kwa walio mikoa ya mbali tunakutumia kibao kwa uaminifu mkubwa.Ni wakati wa kuondoka katika kawaida na kuwa wa kipekee!

Nitafute kwa namba 0769055050
bei kitongaaa ya ofa kwa mwezi huu tu…laki moja tu (100,000)

View attachment 2660548View attachment 2660549View attachment 2660550
nawakumbusha wana jf bado offer yangu ipo palepale *pata plate number kwa 3D kali na yakuvutia sana.

ingawa kuna walionifuata inbox kuniambia nawaaribia biashara kwa kushusha be kiasi hiko..ila nasema tu kila mtu ananamna yake ya kutafuta ugali tusiingiliane kwenye kumbambana kila mtu ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom