Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,601
- 13,767
na ukimpiga anaweza kusema ulikuwa unataka umbandue kinguvu na akashinda kesi.Nasi ndo tunachoogopa hicho, maana kwa maneno yao unaweza kumpa kelbu ukaenda kulala selo bila sababu ya msingi!
Sasa aibu yote hiyo ya nini!
Huwa nawaona hapa Kinondoni hata kutema mate naogopa maana akikuona maneno yake!