Naomba kueleweshwa hapa. Hivi msomaji ana kosa gani kwasababu wanaoandaa habari ni watu wengine na yeye ni msomaji. Naomba mnielewesha watu wenye taaluma ya media.
DAR ES SALAAM, Tanzania — Tanzania’s state broadcaster has suspended nine staffers for a fake news story saying U.S. President Donald Trump had congratulated President John Magufuli for being a good African leader.
Tanzania Broadcasting Corporation’s main channel aired the story Friday.
A statement by the broadcaster’s chief, Ayub Rioba Chacha, says that “such irregularities would have not happened” if professional procedures had been followed.
The fake news story said Trump made the remarks when signing a law barring the citizens of certain African countries whose presidents are clinging to power.
The broadcaster appeared to have picked up the story from an obscure website.
Wanatumia state radio kwa propaganda za kipuuzi!! Aliewatuma labda amewageuka! Maana kuwa na uwezo wa kutengeneza izo news kubw hivyo na kuamua kuzirusha ni lazima mtu awe na kitu anachotegemea na kujiamini!!! Je Rioba amewageuka??
Tanzania's state broadcaster with very few viewers has suspended staffers for the job they have been doing so long..........
TBC brothers, you got youself into this mess.... Nakumbuka mlivofunika kipindi cha Tido, Mshana kaja kamalizia malizia,
Rioba ndio kabisaa viewers wanaenda kugonga zero.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.