HONGERA TBC kwa kuwa na ujasiri.Katika taarifa ya habari muda huu TBC imekiri kutangaza fake news.
Chanzo: TBC habari
Je, hii itawanyamazisha TCRA?
Kitendo cha kuomba radhi hufanywa na vyombo vyote vya habari popote duniani. Hasa wakati ambapo habari iliyotolewa ama KUANDIKWA haikuwa ACCURATE/ SAHIHI.
Si udhaifu bali ni UUNGWANA!
Keep it up TBC!