Fahamu kuhusu Private Jets

Hizo zipo hata za dollar 15000 ila ya mwaka 1970
Airframe mpya

Kazi kwako kufanya upgrades za avionics, AC, power generators, seats etc
Nimetoka kuziona hapa, kumbe kama shida ni jet basi ama kwa hakika haishindikani.
 
Haishindikani kabisa tatizo ni kuwa kama si rubani hautafaidika, yatakiwa ujifunze, kisha nunua huko Marekani kisha ferry mwenyewe au wape wazungu wakufanyie ferrying hadi dsm
 
Nimetoka kuziona hapa, kumbe kama shida ni jet basi ama kwa hakika haishindikani.
Cha ajabu PFD ya C182 ni bei ghali kuliko Ndege yenyewe
Hiyo ni G1000
Hivyo kwa anayenunua VX na kuendesha anaweza kabisa nunua Cessna 182A kwa dollar 30,000 hiyo ina hali nzuri.
Akafanya upgrades za dollar 30,000
Akilipia ushuru ambao hauna VAT anajikuta katumia 150,000,000 hadi Tz

Ila anakuwa na uhakika wa kufika Dodoma ndani ya masaa 2

Arusha 3

Mwanza 5

Na mafuta inabeba galon 65 hizi zinakufikisha Mwanza

Hapo Dodoma kwa mafuta ya 300,000 unafika ndani ya Masaa 2

Shida ni vyuo vya Urubani vinatoza gharama kubwa sana
 
kweli. Mchawi ada.
 
hiyo kampuni ya garmin wako njema sana na avionics products zao. Ila sina uhakika kama wanatoa hadi products kwa ajili ya ndege kubwa km boeing et al
 
Hii imetulia sana nna mpango wa kumiliki moja hapo baadae nikishafika huko mawinguni
 
Kibongo bongo ukitaka return nzuri nunua kama Azam tu nunua Cessina Caravan unabeba abiria na kufanyia miruko yako.
Pia marubani wake ni wengi mno ukitangaza baada ya nusu saa hawa hapa
Wazee wa Day Worker
Inabeba abiria wangap na kwa mruko mmoja inaruka kwa masaa mangap
 
Ndege hutegemea na config ndani na uwezo wa kubeba mizigo.

Kuhusu kuruka yategemea na ukubwa wa tank la mafuta na utumiaji wa mafuta kwa saa.

Hivyo kwa taarifa zaidi google C208 Caravan, C152/172/182A,T
 
Back
Top Bottom