Sawa mkuu, nitafanya hivyo any day next week panapo majaaliwa. Inahitaji muda kidogo kukaa chini na kuandika. Eliakim ThomasTunaomba DKT na cha M R I utueleze
Asante Dr. nimekupata.Kwa uvimbe wa titi, kipimo kizuri cha kufanya kuweza kufahamu kama ni kansa au hapana ni kufanya ni kukata sehemu ya kiuvimbe hicho na kukiotesha (biopsy); kipimo hiki ndio hutoa majibu kwa asilimia 100 kama ni kansa au si kansa...
Kwa hapa Tanzania tunazo CT scan ngapi na MRI ngapi katika hospital zetu za umma?
ZipoHivi kwa dar tuna mashine ya PFT ( pulmonary function test)
Zipo
Nilifanya MRI MUHIMBILI MWEZI WA NNE YA MGONGO NI 450,000/=Kiasi cha mionzi anayoipata mgonjwa kwa kufanya ct scan imepunguzwa sana kulinganisha na miaka ya nyuma kwa kuongezeka kwa teknolojia. Kwa hiyo kwa sasa teknolojia iko hapo, na kiukweli kiasi cha mionzi hiyo ni kidogo sana, kiasi kwamba ni kidogo kuliko ile mtu anayoipata akisafiri angani kwa ndege kwa muda wa masaa nane. Hivyo basi kisayansi mtu anaesafiri long flight kwa ndege (zaidi ya masaa 8 anapata mionzi zaidi kuliko anaefanya CT scan)...
OkCT scan kwa hospitali za umma nafahamu iko muhimbili,kcmc, bugando,pia peramiho(songea),
MRI kwa hosp za umma nafahamu ipo muhimbili (ilikwepo na ile hosp mpya ya dodoma,ila nasikia ndo imehamishiwa muhimbili baada ya MRI ya muhimbili kuharibika).