Afisa Uchaguzi,
It is useless maana unakupa tuu laini uliyoko kwenye simu unatumia kuhakiki usajili. Uhakiki ungekuwa na maana kama ungekulotea namba za mitandao yote
Nimesajili laini 2 kwa kitambulisho changu, lakin nikicheck kwa hiyo namba naona namba moja tu,Wasalaam.
Ili kujua unabonyeza *106# kisha usajili wa NIDA (Utaingiza NIDA ID yako), baada ya hapo zitakuja namba zote zilizosajiliwa kwa ID yako ya NIDA. Kama namba haijui siyo yako maana yake wakala (agent) alifanya ujanja kutumia ID yako kusajili line nyingine.
Ukishaona kwenye list namba haijui basi unaenda kwenye shop iliyokaribu nawe una claim, then customer care anakuambia uweke finger print kisha hiyo namba inafutwa.
Kutokana na watu wengi kutokuwa na NIDA, mawakala wengi walitumia ujanjaujanja wa kusajili line kwa kutumia ID ya mtu mwingine na kuuza hizo line kati ya elfu 5 hadi elfu 20, inategemea watakavyokuona na uhitaji wako.
Mawakala wanafanyaje ujanja? Ukienda kusajili line yako atakwambia weka dole gumba lako baada ya dakika atakwambia network inasumbua hebu ingiza tena, ukifanya hivyo basi hapo jua umeumia, ile ya kwanza amesajili line ya mtu mwingine na ya pili anasajili line yako, kama haujui hiyo mbinu hauwezi kumstukia maana wapo very smart.
Kwahiyo, wote mlionunua line kwa mawakala zilizosajiliwa kwa NIDA maarufu kama Take Away, mjiandae kisaikolojia.
Utabonyeza mbili halafu utaweka namba yako ya NIDA, mwisho utatumiwa SMS ya namba zako zote ulizozisajili kama kuna namba haujaisajili utaenda kwenye shop yoyote ya kampuni ya simu ambayo wewe ni mteja wao halafu utapewa fomu ya ku-remove namba ambazo huzitambui.
Jumanne NJEMA.
Nataka kama nacheki kwa kutumia mtandao wa airtel, inipe list yote ya namba za mitandao yote niliyojisajili kwa kutumia hii NIDA yangu.Usipinge kabla hujafanya tafiti , utaribu huu upo mitandao yote ya TZ. Km hujui better uulize ukaeleweshwa.
Nashukuru sana, nimeona line moja ya airtel imesajiliwa kwa namba yangu.
Huyu nitamshika na atanilipa pesa
mwambie aje mtaani aone tekinolojia ilvyo advancedJaribu mitaani mkuu utajionea mambo
Unapotumia line yenye Jina la mtu mwingine, Kosa linakuwa la wakala anayekusajili au wewe mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuletea namba zote za mitandao yote zilizosajiliwa kupitia namba husika ya NIDA, unazozijua na hata usizozijua, legeza ubongo.Afisa Uchaguzi,
It is useless maana unakupa tuu laini uliyoko kwenye simu unatumia kuhakiki usajili. Uhakiki ungekuwa na maana kama ungekulotea namba za mitandao yote
Mpeleke mahakamaniNashukuru sana, nimeona line moja ya airtel imesajiliwa kwa namba yangu.
Huyu nitamshika na atanilipa pesa
Anatumiaje line iliyosajiliwa kwa kitambulisho cha mtu mwingine tena bila ruhusa ya mwenye namba?
Hao ni matapeli ambao wakishafanya wizi wanaizima..Nimefanya hivyo nikaona kuna namba moja ya voda hata siijui alafu najaribu kipigia haipatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
na kama nilimsajilia line mke wangu kwa ridhaa yangu mwenyewe na sasa nataka kumfungia line, je inawezekana?Yeah ukienda kwenye shop ujanja hakuna...
Ndio unaziona zote kwa hiyo nambaNataka kama nacheki kwa kutumia mtandao wa airtel, inipe list yote ya namba za mitandao yote niliyojisajili kwa kutumia hii NIDA yangu.
na kama aliweka pesa kwenye akaunti nenda kawaombe uzitoe kwanza kabla hawajaifungia, kisheria hizo pesa ni zakoNshamdaka Mmoja..kesho ataona namba yake haitumiki..Maisha mafupi haya.