Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 611
Hapana, sijawahi kushughulika na utafutaji wa uganga wala sijawahi kuganga mtu. Natoa elimu hizi kwakua mkoa wetu kwasasa unakabiliwa na shughuli za ukamataji wachawi 'Kamchape'Swali ( Kidogo nje ya mada ) Je wewe ni mmoja kati ya wale wahitimu 400