Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 13,114
- 21,748
Hii ndio kali kuliko zote , haina kuungaunga matukio ili upate ushahidi. Duuh inatisha sana hii.WALAWI11
Mtu yoyote akiguza kitu kilichokufa, au afue nguo zake kabla ya kufanya chochote anawe awe safi kwa maji. Ignaz Phillip Semmelwies . alikuwa director wa Viena general Hospital Austrial, Mwaka 1847 aligundua hadi asilimia 3o Ya wanawake waliokuwa wanajifungua walikufa. Hii asilimia ilikuwa sio huko tu bali hata ireland, UK ,US etc. Alizama kutafuta sababu na kugundua Madaktari waliokuwa wanawahudumia wajawazito. Wakitoka kumuandaa mama aliyekufa walinawa na damu kwenye maji hayohayo na wengine hawakunawa kwa sababu waliona haina sababu.Dunia ya sasa hakuna Daktari atakayetoka kwa maiti na kwenda kumuhudumia mgonjwa aliyehai bila kunawa au hata kubadili mavazi. Hii ilikuwa ni matokeo ya utafiti wa huyu Ndugu lakini Mungu alishawaelekeza jamaa zamani sana.