Facebook inanisumbua

Je ukitaka kujiondoa facebook unafanyaje ( kufunga account)
 
Achana na mambo ya fesibuku hayo ni masuala ya waseki skuli.. Mbona JF ni sehemu ya kikubwa zaidi.
 
Je ukitaka kujiondoa facebook unafanyaje ( kufunga account)

Ndani ya Fb kwenye settings tafuta walipoandka "Help" click hapo ndani yake tafuta walipoandka "Manage Your Account" click hapo then tafuta tena neno "Deactivate or delete Your Account" utakutana na maneno mengi yaliyo katika mfumo wa maswali ww shida yako ni kufuta kabisa Account ya fb sasa chagua neno "How do I delete my Account? "
Au tafuta neno lililo andikwa FAQ yaan (Frequently Asked Questions) click hapo afu itakuja search keyword box kama ile ya google insert maneno haya kama una google vile "How do I delete My Account permanently?" watakuletea swali lilofanana na hilo juu uliloweka then click hilo neno na endelea na process watakazokuulz na kama kweli umeridhia kuifuta just uwe una confirm tu kila swali watakalokua wanakuulza then watakwambia kuweka PASSWORD yako ya Fb ukisha confirm kufuta utakua utaratibu wa kuiondoa au kufuta utaanza pole pole.

NB: Kufutika kwa Account ya fb sio kitendo cha mara moja tu hii process huchukua siku 14 mpaka account yako kuwa deleted permanently kabisa so kama utaamua ku cancel maamuzi yako just do it before those 14 days.
 
Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...

Ya fesibuku ulizaneni hukohuko fesibuku...

Hapa panaitwa Jamii Forums.

IMG_1488588353.740776.jpg
IMG_1488588353.740776.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom