Mkuu si hata juzi tu mvua imenyesha, tena june hii hiii, mnataka mvua mpaka kiangazi?Ndo mana mvua zimekatika mapema sana!
naam watu kama nyinyi hamkosagi pahali popote, asante kwa mchango wakoHabari ya kutunga hiyo ili kufurahisha watu nadhani coaster yako inasafirisha misiba ya mashetani.
Nimesafiri Mara kadhaa ktk misiba Marangu,Rombo,Mbeya,Arusha,Dodoma,Singida,Morogoro kwa kweli sijayaona hata robo ya hayo.
Pombe sikatai baadhi ya misiba wanakunywa lakini ngono mmmh hapana.
Wadada wa vjijini eti wakiwaona wa Dar wanachanganyikiwa hapana.
Hao sio wafiwa ni wasindikizaji,mfiwa huwezi acha nyumba ya msiba uende kulala Lodge, hata kama hakuna nafasi utalala ukiwa umekaa.Sijaelewa wafiwa wanaenda lala lodge?
Hata kama hatukosekani lakini umeeleza as if hatusafiri ktk hizo safari na kuona kinachotokea.naam watu kama nyinyi hamkosagi pahali popote, asante kwa mchango wako
Ipo kama hii Box namba b kwa ml 20 .
Yule mama si angefanya vitendo hata kidogo asee.Tibaijuka ndani ya byunge!!!