Experience ya kulea vifaranga vya kuku

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,898
4,620
Asalaam wana JF,
Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea with less mortality. This will be like my Diary so keep yourselves updated

11/04- nilivifata kwa supplier wangu, nikavifikisha, chumba nilishakiandaa kwa kuweka malanda, magazeti, vyombo vya kulia na round boards to make it a perfect bruder. Vilipofika, nikavitoa, vyote vilikuwa vizima alhamdulilah, nikawawekea chicken mash na vet glucose kwenye vyombo vya maji. Nikapambana na kuwasha vyungu vya moto and mpaka leo vimekufa vitatu tu kwa cause ya presumably Sudden Death Syndrome, ambayo ni common kwa chicks waliotoka hatchery.

(It will be updated daily.)
 
All the best
 
I hope this information find you well. How is your chicken doing it's almost about 1 month and half please keep us up to date
 
Back
Top Bottom