Nimefurahia sana uliyoyasema ni kweli kabisa . The thing i dislike the most about Odinga ni kwamba anaweka maslahi yake mbele na maslahi ya Kenya nyuma yake.And he doesn't think any state institution can hold him accountable (hizo ni red flags za dictator)Ndio maana tumeamuka mapema kumuangusha, hatuko tayari kurudishwa nyuma kimaendeleo kwa sababu ya masilahi ya mtu mmoja
Hehe nyoko eeh? Mimi si wa Mombasa jombaa, kwetu ni Kajiado County, kura yangu nimeipigia hapa hapa home. Sisi ndo majirani kabisaa, Namanga ipo ndani ya County ya Kajiado. Kesho kutwa ntakuwa kwenye biashara zangu pale Tarakea. Aisee, nimewamisi sana hao warembo wenu wa Rombo.Kuna wale wa Mombasa mzee wanaongea na kuandika kiswahili nyoko haswa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe nyoko eeh? Mimi si wa Mombasa jomba, kwetu Kajiado kura yangu nimeipigia hapa hapa home. Sisi ndo majirani kabisaa, Namanga ipo kwenye County ya Kajiado. Kesho kutwa ntakuwa kwenye biashara zangu pale Tarakea. Aisee, nimewamisi sana hao warembo wenu wa Rombo.
Uh, Nahirat tayari kuna vurugu huku, nije Tz wapi?
Baada ya matokeo usikimbie. Wakenya ndo wataamua kumchagua kiongozi wanaomhitajiSitarajii Uhuru ashindwe na akishindwa nitashangaa sana.
Hiyo ni kwa sababu incumbents Afrika mara 9 kati ya 10 huwa hawashindwi.
Sitarajii Uhuru ashindwe na akishindwa nitashangaa sana.
Hiyo ni kwa sababu incumbents Afrika mara 9 kati ya 10 huwa hawashindwi.
Upo sahihi kabisa.Ni wapi ambapo incumbent hushindwa Uchaguzi kirahisi? Kama unafikiri ni Afrika tu?
Duh! Umemchinjia baharini Raila Odinga! Wewe mbaya kweli, yaani hutaki hata damu ionekane?!...Dadeki, saa kumi na mbili na dakika thelathini na tatu ndo nimepiga kura yangu! Son of the soil, nimeshatimiza wajibu wangu kwa nchi yangu, shukran zote ni kwa Maulana!
Hongera tume ya uchaguzi na mipaka IEBC mmejipanga vyema sana! Diwani wangu Ustadh Kanchory mwenyewe, tumepatana nikitoka akanisalimia na kupiga bonge la smile, aisee ni kama ameshinda Sportpesa vile! Anajua nishampa zake tano tena!
Jubilee hoyee!