Kumbe ni kweli huwa mna ubinafsi eenhh?!!.Wasipokusikia basi tena.
Vipi ukiwapa ndugu zake ?
Hivi hii ni bongo tu au dunia nzima ?Meno thelathin na nje yote mbili.....
Ndo anajitutumuaVipi ukiwapa ndugu zake ?
Kuna siku nilitoa pesa kwa mke wa mdogo wangu mbele yake. Ilikuwa ni vita ya tatu ya duniaHawa viumbe wao huona pesa za mwanaume ni zao, ukitoa msaada kwa ndugu au mtu yeyote wao huona kama umetoa pesa zao na hua ni wabinafsi sana. Zingatia ushauri wangu ewe mwanaume mwenzangu utanishukuru baadaye.
Hivi hii ni bongo tu au dunia nzima ?
Dunia nzima. Sio binadamu tu ni nature ya viumbe vya kike.Hivi hii ni bongo tu au dunia nzima ?
Hawa rafiki zetu( wake) sijui waliambiwa nini na yule nyoka yaani hata kuiona tu pesa umeshika jicho halibanduki. Hivi kwa nini mi nilijua inatokea kwa mke wangu tu.Kwenye hili wengi wanawake wengi roho huwauma sana, mno.
Kuna jamaa yangu nilimuazima hela kwa bahati mbaya siku ananirudishia mwenzie aliona maana ilikuwa ghafla na akiwa nae. Yule mwanamke alibadilika kabisa, jamaa akaja kuniambia anajuta kunipa zile pesa akiwa nae nikamwambia usikae urudie hilo kosa.
Wanawake mna nini na hela?
Robert Heriel Mtibeli ongea na vijana....😂
Wanawake na pesa bado sijajua kuna nini kilifanyika mpaka wakawa na bond kali kiasi hicho.Hawa rafiki zetu( wake) sijui waliambiwa nini na yule nyoka yaani hata kuiona tu pesa umeshika jicho halibanduki. Hivi kwa nini mi nilijua inatokea kwa mke wangu tu.
umeongea jambo la msingi sana big upNadhani mwanamke anareact hivyo sio kwasababu ni mbinafsi ila ni reaction reasonable ya mke katika kuprotect assets za familia au zenu.
Ndio maana hata katika haya Maisha wanaume unaona wana ng'ang'ania sana ndoa wanapokuwa tayari kusettle na kufanya maisha sababu wanajua mwanamke mwenye utulivu wa fikra na akili ya kutulia na mwanaume kufanya maisha atamsaidia katika kubana pesa zisiende kwenye matumizi yasiyo ya lazima.
Mfano sisi wanaume huwa hatuwazi kufanya uharibifu wa laki hadi milioni kwasababu tunajiamini ni pesa tutaweza ipata ndani ya muda mfupi au baada ya wakati fulani.
Lakini ukiwa na mwanamke utashangaa matumizi ya hivyo yanakata. Unashtuka tu anakwambia kuna kiwanja kile alikwambia mwaka jana kule Chanika ameshamalizia kukilipia muende pamoja mafundi wakatazame jinsi ya kuset nyumba itakaa mkao gani ili waanze kuchimba msingi.
Kiufupi mwanamke hana muda wa kupoteza anapokuwa na mwanaume kinyume na mwanaume ambaye anaweza poteza hata miaka 20 ya Maisha yake ila akaja kuifidia ndani ya miaka 5 tu ya kuwa serious na focused na akapiga hatua kubwa sana kimaisha hadi watu wakashangaa na akawa kwenye heshima yake. Mwanamke akipoteza mwaka 1 tu gharama yake ni sawa na mwanaume kupoteza miaka 10 ya ujana wake bila kufanya lolote maishani.
So tuwaelewe vizuri wanawake ndio maana wanasema tuishi nao kwa akili kama vile tunavyowatazama watoto kwa akili.
Exactly. Mwanamke hatakiwi kujua kila kitu ni lazima mwanaume uwe na kifua cha kuwaficha hawa viumbe siri.na ndo maana Abraham hakuomba ushauri kwa Sarah kuhusu kumtoa Isaac...kuna funzo kubwa hapa