Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

Inategemea na ndugu unayemsaidia hapa. Kwa mfano wapo ndugu ambao hutusaidia katika vipindi vigumu na hata mke anajua fulani ndiyo katoa msaada au mkopo. So hata siku akishuhudia unamsaidia ndugu kama huyo mke hawezi kuwa na roho kubwa. Ikitokea akawa na roho kubwa katika situation kama hiyo basi huyo fukuza haraka sana.
 
Kwenye hili wengi wanawake wengi roho huwauma sana, mno.

Kuna jamaa yangu nilimuazima hela kwa bahati mbaya siku ananirudishia mwenzie aliona maana ilikuwa ghafla na akiwa nae. Yule mwanamke alibadilika kabisa, jamaa akaja kuniambia anajuta kunipa zile pesa akiwa nae nikamwambia usikae urudie hilo kosa.
Wanawake mna nini na hela?
 
Hawa viumbe wao huona pesa za mwanaume ni zao, ukitoa msaada kwa ndugu au mtu yeyote wao huona kama umetoa pesa zao na hua ni wabinafsi sana. Zingatia ushauri wangu ewe mwanaume mwenzangu utanishukuru baadaye.
ushauri mujarabu sana huu 👊🐒

nimeona na kuishi hali hiyo aise dah 🐒

kuna mumama mke wa kiongozi wa ngazi ya juu sana humu nchini, mke wake tulikua nae katika kikundi Fulani cha kutoa huduma fulani mahala Fulani 🐒

sasa huyo kiongozi mkubwa ambae ni mume wa huyo mumama, alikua akija kundini kwetu kutusabahi mara kwa mara. Sasa akija hakosi kuacha kreti za bia na soda kadhaa kundini tuinjoy pamoja nae, lakini na pia posho ya nguvu sana hutolewa wazi wazi mbele ya mkewe ambae alikua ananuna na kufyonza balaaa na wakati mwingine alizira na kupanda gari lake na kuondoka zake nyumbani 🐒

kwenye familia ni hatari zaidi
 
Inategemea na ndugu unayemsaidia hapa. Kwa mfano wapo ndugu ambao hutusaidia katika vipindi vigumu na hata mke anajua fulani ndiyo katoa msaada au mkopo. So hata siku akishuhudia unamsaidia ndugu kama huyo mke hawezi kuwa na roho kubwa. Ikitokea akawa na roho kubwa katika situation kama hiyo basi huyo fukuza haraka sana.
Na ndio maana ukisaidiwa na mtu au rafiki mjulishe mke wako ili ajue kuwa kuna kukwamna na kusaidiwa ili siku na wewe ukiombwa msaada asione ajabu!
 
Yaani kuna vitu ni vya kipumbavu sana, kuna baadhi ya wanawake hununa hata pale unapowapa wazazi wako msaada wa kifedha bila kumshirikisha.Yaani Mimi hapa nilipo huwa nikiangalia mtoto mchanga jinsi mama yake anavyo hangaika kumuhudumia kukanyonyesha,kakijisaidia akasafishe,akabembeleze,akafanyie kila huduma wakati mwingine hata kurisk maisha yake hapo hapo wamekusomesha kwa mbinde kwa kujinyima ,alafu eti unapotaka kumsaidia mzazi wako eti uombe kibali kwa mke afanye approval ndio uwasaidie wazazi .Wanawake ukitaka kuwasikiliza kila kitu hata katika mambo ya kumtolea Mungu sadaka kinawauma.
 
na ndo maana Abraham hakuomba ushauri kwa Sarah kuhusu kumtoa Isaac...kuna funzo kubwa hapa
 
Inategemea na ndugu unayemsaidia hapa. Kwa mfano wapo ndugu ambao hutusaidia katika vipindi vigumu na hata mke anajua fulani ndiyo katoa msaada au mkopo. So hata siku akishuhudia unamsaidia ndugu kama huyo mke hawezi kuwa na roho kubwa. Ikitokea akawa na roho kubwa katika situation kama hiyo basi huyo fukuza haraka sana.
Ili usimfukuze we fata ushauri wa jamaa.maana nje ya hapo utamfukuza kweli
 
Back
Top Bottom