Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,780
- 10,710
Messi aoneshe picha kama hizi na yeye!CR7 kwenye individual achivement hakuna ambacho hajatimiza ila alibakiza hili ambalo jana kalitimiza na ndio maana kwa muda mrefu watu wamekua wakilaumu kua pamoja na mafanikio yake kwenye clubs sio lolote kwenye timu ya taifa ila jana kamaliza fitina.
Kwangu kubeba ndoo jana ni kila kitu kwa CR7 naamini hata yeye ndoto yake ilikua kufanya lile alilofanya jana akiwa captain wa Ureno.
View attachment 365225
View attachment 365226
Hizi picha zitabaki milele kwenye kumbukumbu za CR7 na Wareno.